Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe maisha

Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe maisha

Ungekua kwenye viatu vyake katika utafutaj rizki sidhan kamana ww ungeacha hela nononono kama za kampeni
Basi angemshauri huyo kiongozi asikilize maoni ya watuAngemsihi asitumir mabavu kuzima sauti za wakosoaji.
Angejizuia kuongea zile kauli za dharau kwa watanzania.
 
Haijaisha mpaka iishe.

Tunaanza walipoishia wao.

Kama kweli una uchungu wa watu waliopoteza maisha kwa ajili ya mama yule kuingia madarakani kibabe akisaidiwa na wasanii uchwara kumpa promo.

Promo zao zimewaponza, tunaanza walipoishia wao, wasifikiri vita imeisha ,ngoma bado mbichi sana.

Tunaanza kwanza kureport account zao za social media kuhakikisha zinafungiwa kabisa.

Tunaanza na huyu diamond kisha wengine watafuata.

Cha kufanya nenda Instagram uka report account ya diamond ifungiwe kabisa isiwepo.

Hakikisha unaripoti hata mara kumi.

Tukiwa wengi tutafanikiwa.
View attachment 3498086
Mimi tayali
na hao followers wengine wanasubili nini huko kwake
 
Back
Top Bottom