JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Hakikisha una ripoti hata mara kumi kumi
Hakikisha una ripoti hata mara kumi kumi
Oooooh safi sana mkuu.
Vijana jikiteni kwenye kufanya kazi achaneni na hayo mambo saivi!!
Hamna mwenye muda na nyie saivi!
Tumeshatengwa na kila idaraa!
Sasa tusonge mbele na kujenga nchi.!
Sinaga utaratibu wa kufollow machoko ya pdiddy mzee!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usisahau ku unfollow.
Hakuna kucheka na musenge.
| Nov 6 2025 | 18,746,830 -19,272 | 1,868 | 8,611 -1 | 0.42% |
| Nov 5 2025 | 18,766,102 -59,743 | 1,868 +1 | 8,612 -1 | 0.42% |
| Nov 4 2025 | 18,825,845 -19,679 | 1,867 +1 | 8,613 +1 | 0.42% +0.01 |
| Nov 3 2025 | 18,845,524 -7,746 | 1,866 +1 | 8,612 +3 | 0.41% |
| Nov 2 2025 | 18,853,270 -1,062 | 1,865 +3 | 8,609 | 0.41% -0.02 |
| Nov 1 2025 | 18,854,332 -436 | 1,862 +5 | 8,609 +2 | 0.43% |
| Oct 31 2025 | 18,854,768 -36 | 1,857 | 8,607 -3 | 0.43% -0.01 |
| Oct 30 2025 | 18,854,804 -417 | 1,857 | 8,610 -14 | 0.44% -0.02 |
| Oct 29 2025 | 18,855,221 -1,025 | 1,857 | 8,624 | 0.46% +0.01 |
| Oct 28 2025 | 18,856,246 -911 | 1,857 +1 | 8,624 -2 | 0.45% |
| Oct 27 2025 | 18,857,157 +1,768 | 1,856 | 8,626 -2 | 0.45% |
| Oct 26 2025 | 18,855,389 +1,545 | 1,856 | 8,628 +9 | 0.45% |
| Oct 25 2025 | 18,853,844 +1,860 | 1,856 | 8,619 -24 | 0.45% |
| Oct 24 2025 | 18,851,984 +2,174 |
akili zingine bana, aya ongeza kasi ya kuripotiAccount zinafungwa tu kama idadi ya wanaoripoti ni wengi.
Nenda karipoti kwanza.
NyumbuHATUCHEKESHI.
Mpaka sasa si chini ya followers elfu 80 kapoteza ndani ya siku 3Bonge La Movement...
💯💯💯💯
Supported.
👏👏👏Mpaka sasa si chini ya followers elfu 80 kapoteza ndani ya siku 3
Harmonize si chini ya followers elfu 30 kapoteza
Safi sana mkuuNsharipoti na ku unfollow
Kwamba Diamond ndio Adui yako ? Badala ya ku-deal na watu mnaowalipa Kodi na bado wanawakandamiza mnahangaika na mbangaizaji anayejitafutia chakula chake kwa nguvu zake na Usanii wake ?
Alaumiwe kama akitoa ngoma mbovu (na laumu kwa kutokusikiliza nyimbo zake au kutokununua) na sio kwa kutokuwa MwanaHarakati kama wewe unavyotaka