Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Tatizo kamdomo kakeUngekua kwenye viatu vyake katika utafutaj rizki sidhan kamana ww ungeacha hela nononono kama za kampeni
Tatizo kamdomo kakeUngekua kwenye viatu vyake katika utafutaj rizki sidhan kamana ww ungeacha hela nononono kama za kampeni
sawaSafi .
Hongera sana.
Hakikisha unaripoti kila ukipata muda.
Kubwa zaidi usisahau ku unfollow.
Kwa heshima,Bahati nzuri au mbaya sijafollow msanii yoyote bongo
Safi.Mimi nimemripoti kitambo amechangia mauaji Tanzania
Hivi kipi kilikwamisha kufika kumpa salamu zake kutoka kwa wajomba zake Kigoma?Safi.
Unaweza ukaripoti tena na tena.
Usisahau ku unfollow.
Issue sio kampeni issue kamdomo.Ungekua kwenye viatu vyake katika utafutaj rizki sidhan kamana ww ungeacha hela nononono kama za kampeni
Hizi mambo za kuweka maslahi binafsi mbele ya maslahi ya taifa ndizo zimetufikisha hapa. Chawa wameligharimu sana hili taifa!Msamehe tu kijana alikua anaganga njaa
Mimi nilimu unfollow kitambo tangu kipindi kile anapigana vijembe na zari. Ngoja nikamreport sasaUsisahau ku unfollow na ku ripoti account husika
Usisahau ku unfollow na ku ripoti account husika.Hizi mambo za kuweka maslahi binafsi mbele ya maslahi ya taifa ndizo zimetufikisha hapa. Chawa wameligharimu sana hili taifa!
SafiMimi nilimu unfollow kitambo tangu kipindi kile anapigana vijembe na zari. Ngoja nikamreport sasa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥Done 👍 nisharipoti
Na kule Spotify nimemripoti pia kuanzia SASA sitasikiliza tena nyimbo zake🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safi sanaMimi nilimu unfollow kitambo tangu kipindi kile anapigana vijembe na zari. Ngoja nikamreport sasa
Safi sana mkuu.Na kule Spotify nimemripoti pia kuanzia SASA sitasikiliza tena nyimbo zake
Wacha nisogelee huko nikaripoti!Hakikisha una ripoti hata mara kumi kumi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usisahau ku unfollow.Wacha nisogelee huko nikaripoti!
Sisi ndio wale tunaingilia hata ugomvi tusiojua chanzo chake!
Naenda kureport!.
HATUCHEKESHI.Haibadilishi chochote