Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe maisha

Ungekua kwenye viatu vyake katika utafutaj rizki sidhan kamana ww ungeacha hela nononono kama za kampeni
Issue sio kampeni issue kamdomo.

Kwani aliposema tuche maneno tufanye kazi wakiwa Ommy walikuwa kwenye siasa?

Yaani tunalia utekaji na mauaji yeye anathema tunalalamika tukafanye kazi?

Kazi utafanyaje kaka,baba mdogo wako ametekwa na hujui kama yu hai hiyo nguvu utatoa wapi?
 
Mpaka sasa Diamond amepoteza wafuasi si chini ya elfu 80.

Harmonize amepoteza si chini ya elfu 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…