Twendeni tukaripoti account ya Insta ya Diamond Platnumz ifungiwe maisha

Vijana jikiteni kwenye kufanya kazi achaneni na hayo mambo saivi!!
Hamna mwenye muda na nyie saivi!
Tumeshatengwa na kila idaraa!
Sasa tusonge mbele na kujenga nchi.!

Yaani tutengwe na kila idara halafu halafu tukafanye kazi kuzijenga idara zilizotutenga?!
Kujenga nchi ni lazima uanze na kuzijenga idara zilizomo ndani ya nchi!
 
Nov 6 202518,746,830
-19,272​
1,8688,611
-1​
0.42%
Nov 5 202518,766,102
-59,743​
1,868
+1​
8,612
-1​
0.42%
Nov 4 202518,825,845
-19,679​
1,867
+1​
8,613
+1​
0.42%
+0.01​
Nov 3 202518,845,524
-7,746​
1,866
+1​
8,612
+3​
0.41%
Nov 2 202518,853,270
-1,062​
1,865
+3​
8,6090.41%
-0.02​
Nov 1 202518,854,332
-436​
1,862
+5​
8,609
+2​
0.43%
Oct 31 202518,854,768
-36​
1,8578,607
-3​
0.43%
-0.01​
Oct 30 202518,854,804
-417​
1,8578,610
-14​
0.44%
-0.02​
Oct 29 202518,855,221
-1,025​
1,8578,6240.46%
+0.01​
Oct 28 202518,856,246
-911​
1,857
+1​
8,624
-2​
0.45%
Oct 27 202518,857,157
+1,768​
1,8568,626
-2​
0.45%
Oct 26 202518,855,389
+1,545​
1,8568,628
+9​
0.45%
Oct 25 202518,853,844
+1,860​
1,8568,619
-24​
0.45%
Oct 24 202518,851,984
+2,174​
 
Kwamba Diamond ndio Adui yako ? Badala ya ku-deal na watu mnaowalipa Kodi na bado wanawakandamiza mnahangaika na mbangaizaji anayejitafutia chakula chake kwa nguvu zake na Usanii wake ?

Alaumiwe kama akitoa ngoma mbovu (na laumu kwa kutokusikiliza nyimbo zake au kutokununua) na sio kwa kutokuwa MwanaHarakati kama wewe unavyotaka
 


Kwenda wewe, unatuona sisi ni mambumbumbu kama wewe?
 
Lets focus guys diamond sio our first enemy, Nae anahitaji tu kukombolewa kutoka kwa Fisihemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…