Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

Wanatuharibia jukwaa
 
Wanatuharibia jukwaa
Nitakuwepo hapa siku ya confirmation ya hii habari NI LAZIMA WEWE NA MA THOMASO WENGINE MNIOMBE MSAMAHA kama jukwa linaharibika kwa ku post ujinga wa utopwinyo then let it be, washapewa twiga mweusi na theluji ya kijani
 
K A N U N I.
Kanuni ya 16 (1)(4).
Nembo ya Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu itawekwa kwa rangi zake halisi ktk mkono tu wa kulia kwenye sare za timu za kuchezea, na timu zitalazimika kufanya hivyo kwa michezo yote ya Ligi Kuu.
>Tunahitaji kanuni zifuatwe.
 
K A N U N I.
Kanuni ya 16 (1)(4).
Nembo ya Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu itawekwa kwa rangi zake halisi ktk mkono tu wa kulia kwenye sare za timu za kuchezea, na timu zitalazimika kufanya hivyo kwa michezo yote ya Ligi Kuu.
Vodacom walielewa na walibadiliaha tinaamini na NBC watakuwa waelewa
 
K A N U N I.
Kanuni ya 16 (1)(4).
Nembo ya Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu itawekwa kwa rangi zake halisi ktk mkono tu wa kulia kwenye sare za timu za kuchezea, na timu zitalazimika kufanya hivyo kwa michezo yote ya Ligi Kuu.
Kanuni sio Sheria, kwenye mpira wetu sisi Yanga ndio kanuni na ndio mpira wenyewe sio Tff, Tff wameikuta Yanga kwenye mpira.
 
Veeeeeerrrrrry unprofessional kuanzia yanga mpaka nbc. CRDB wasingekubali utopolo kama huu
Wewe endelea na uprofessional wako, Yanga walisha kua professional kabla ya neno lenyewe professional.
 
Hawa ni wa hapa hapa tu mkuu.
 
Huu ubavu wa NBC kudhamini ligi umetoka wapi maana naona hawapo kiushindani sana kama benki nyingine za ndani interms of kufungua matawi mengi na uwakala kama.benki zingine. Wao matawi yamebaki yale yale hayaongezeki kuna baadhi ya miji hawapo
 
Absa banki na NBC ni kitu kimoja.
 
Absa banki na NBC ni kitu kimoja.
Nani kakudanganya kuwa kuna hela itatoka afrika kusini kuja kudhamini ligi ya nbc ? Uendeshaji wa matawi ya makampuni unapewa mtaji wa kuanzia tuu, ukitaka kuamini Barclay ilishindwa kufanya lolote bongo lakini huko ulaya inadhamini ligi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…