Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Wanatuharibia jukwaaHata mimi nilikua najiuliza muda huu, hivi wadau wa hili jukwaa la michezo tumekosea wapi kiasi cha kuruhusu watu wenye hulka za aina ya mtoa mada kujimilikisha hili jukwaa!
Kuna yule mwenzake mwingine yule! Anaitwa nani sijui!! Wakija na mada zai humu, unashindwa kuelewa kama tuko jukwaa la Wambea na Mashangingi ya mjini, au jukwaa pendwa la michezo!