Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

KUKU_UFUGAJI

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
857
Reaction score
1,727
Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.

Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video zinazo shahabiana na porn videos, unaweza kuta mtu kapost "check out this funny videos " ukifungua ni kweli funny video ila kwenye comment ya hiyo post ni porn videos zinafuata, na mara nyingine una kuta huja follow hizo account zao ila unashangaa videos au picha Wanawake wapo nusu uchi, yaani ni kama algorithm fulani wameweka kwenye huo mtandao hizo videos ziwe lazima kuziona hata kama huja follow account za mambo ya wakubwa.

Yaani umekuwa siyo ule mtandao wa kistaarabu au watu wasomi kama zamani ilivyokuwa sasa hivi ni changanyikeni watu wanafanya biashara huko kama instagram, zamani haikuwa hivyo.

Au ni mimi tuu ndiyo naona haya mabadiliko, au kuna settings nimekosea kwenye account yangu ndiyo maana haya mavideos nayaona.

Ushauri wenu jamani.
 
Hiyo algorithims work based on your interest. If ulishawahi ku like hizo picha, or follow mtu mwenye hizo content lazima ukutane na madudu. Kuna feature kwenye twitter uki enable hayo maudhui huyaoni tena.
 
Mkuu naomba ubold haya maneno ili asome kwa kutulia na aelewe,,mtu anajifanya kulalamika kumbe ni mdau.
 
Nime-uninstall hiyo App kwasababu ya hizo mambo. Binafsi siwezi kuona picha ya pisi kali nisiifungue kutazama. Kwahiyo ili kuepusha nimeondoa kabisa hiyo App
Muda si mrefu na mimi nitafanya hivi mkuu maana ni shida, huku picha za ajabu nikifungua facebook sasa hivi nako ni hivyo hivyo mpaka aibu kufungua hiyo mitandao mbele za watu.
 
Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.

Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video zinazo shahabiana na porn videos, unaweza kuta mtu kapost "check out this funny videos " ukifungua ni kweli funny video ila kwenye comment ya hiyo post ni porn videos zinafuata, na mara nyingine una kuta huja follow hizo account zao ila unashangaa videos au picha Wanawake wapo nusu uchi, yaani ni kama algorithm fulani wameweka kwenye huo mtandao hizo videos ziwe lazima kuziona hata kama huja follow account za mambo ya wakubwa.

Kwa kifupi naona XVIDEOS, PORNHUB zimahamia uko twitter kuna videos mpaka za lisaa au nusu saa. Yaani huna haja ya kuwasha VPN ili uingie XVIDEOS AU PORNHUB we download twitter tuu ingia huko utakutana na mavideos ya kishenzi kama yote.

Yaani umekuwa siyo ule mtandao wa kistaarabu au watu wasomi kama zamani ilivyokuwa sasa hivi ni changanyikeni watu wanafanya biashara huko kama instagram, zamani haikuwa hivyo.

Au ni mimi tuu ndiyo naona haya mabadiliko, au kuna settings nimekosea kwenye account yangu ndiyo maana haya mavideos nayaona.

Ushauri wenu jamani.
X imesheheni criticals ambao wanakosoa madubwasha mengi ya hovyo ya serikali na WASERIKALI wenyewe...

Unapoona zile porno zinasheheni ni mkakati wa kutuondoa relini kwa kuflood matakataka. Jamaa yetu huwa anashinda kule na verified ID yake kabisaa. Lakini anajua lengo ni nini hivyo hakemei wala kuchukua hatua...

JF inabaki mtandao salama muda wote
 
TCRA kama wako siriasi wafunge na Twitter, maana kwa sasa ni kqma bufeea mitandao yote ya ngono duniani.
 
Nime-uninstall hiyo App kwasababu ya hizo mambo. Binafsi siwezi kuona picha ya pisi kali nisiifungue kutazama. Kwahiyo ili kuepusha nimeondoa kabisa hiyo App
Nimefanya hivyo na Facebook zote nimeondoa binafsi nimekuta jf kuwa friendly zaidi hasa kwa afya ya akili
 
Back
Top Bottom