Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Hizo ni nadharia za watu, sisemi kwamba hazileti madhara ila nasema kwamba watu wenyewe ndo wameamua hivo, watu wa production wanaangalia watu wengi wanapenda nini zaidi wao wanaingia kazini, ni sawa na kelele za kwamba bongo fleva inaua maadili ilhali hali juzi/jana tu ikulu watu wamealikwa futari ikiwepo waimbaji wakubwa wa nyimbo zisizo na maadili , na hatuwezi laumu sana kwa sababu fan base yenyewe ndo inawakubali sana hao wasanii.hizi video za ngono nadhani ni moja kati ya silaha mahususi iliyoandaliwa kimkakati kuhakikisha wanaua masculinity,ni mbaya sana especially kwa mwanaume....ukizitazama sana hizi video unakuta unadevelop sexual fantacy mpya mfano kuacha kufurahia sex ya kawaida na mwanamke badala yake unaenjoy zaidi ukishudia watu wakifanya.
hii kitu sio nzuri kabisa
Janga ni kubwa ila tupunguze hizi nadharia kwamba kitu fulani kimewekwa kwa lengo fulani,