Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

hizi video za ngono nadhani ni moja kati ya silaha mahususi iliyoandaliwa kimkakati kuhakikisha wanaua masculinity,ni mbaya sana especially kwa mwanaume....ukizitazama sana hizi video unakuta unadevelop sexual fantacy mpya mfano kuacha kufurahia sex ya kawaida na mwanamke badala yake unaenjoy zaidi ukishudia watu wakifanya.
hii kitu sio nzuri kabisa
 
Muda si mrefu na mimi nitafanya hivi mkuu maana ni shida, huku picha za ajabu nikifungua facebook sasa hivi nako ni hivyo hivyo mpaka aibu kufungua hiyo mitandao mbele za watu.
Facebook ina unafuu ila hawa wanaojiita content creator ndo wanazidi kuuharibu. Twitter au X ni mtandao wa ngono kwa sasa.
 
Facebook ina unafuu ila hawa wanaojiita content creator ndo wanazidi kuuharibu. Twitter au X ni mtandao wa ngono kwa sasa.
Kumbe na wew umeona eh. Content creators hata mimi nimeona ana post video ya kichekesho ukifungua sehemu ya comment una Kutana na videos za ajabu mwanzo mwisho
 
Hii shida imekuwa ni kubwa sana..... Hadi inafika wakati naogopa kufungua app ya Twitter mbele zawatu.... Ni aibu
 
Kwa kifupi naona XVIDEOS, PORNHUB zimahamia uko twitter kuna videos mpaka za lisaa au nusu saa. Yaani huna haja ya kuwasha VPN ili uingie XVIDEOS AU PORNHUB we download twitter tuu ingia huko utakutana na mavideos ya kishenzi kama yote.
Nipo Twitter au X mboni sijawahi kukutana na huo ubwege wewe utakua unazifuata
 
Social media algorithm hiyo mkuu, ni lazima umewahi fanya haya hapa chini:

1. Kufungua porn yenye zaidi ya 30 seconds kama mara 3

2. Kuikuta post yenye maudhui kama hayo ukaidokolea macho bila kuifungua kwa sekumde 10 au zaidi

3. Una watu ulio follow wao ni wadau wa hizo mambo, na algorithm huashumu same birds flocking together.

La kufanya nenda kwenye settings, privacy na untick or toggle off baadhi ya features na hutoona tena madudu.

Usisahau robot za mfano social media huwa zina record user behaviour na zenyewe zina trigger algorithm ikuletee maudhui kutokana na user behaviour yako. So chanzo ni wewe. Ukisha malizana na settings anza kufuatilia maudhui mengine uone kama nayo hayatajaa.
 
Mkuu algorithm ya instagram naitoje maana ni aibu kwa kweli
 
Mkuu algorithm ya instagram naitoje maana ni aibu kwa kweli
Mkuu algorithm ya instagram ni tofauti kidogo kutokana na architecture iliyotumika ku create instagram, yenyewe ipo kwenye ile page a browsing, yani ukibofya pale kwenye search lens ukianza kufungua content ambazo unazipenda sana kwa wingi basi kila ukifungua pale search page kwenye lens utaziona video au pictures zenye behaviour sawa na unavo angaliaga, ila home page ya instagram yenyewe sio behaviour display ila inatokana na account ulizo zi follow tu. So x/twitter yenyewe homepage yake ni behaviour ila instagram homepage yake ni accounts follow.

Tiktok yenyewe ni kama x/twitter, homepage yake ni behavioural display.
 
Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.

Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video zinazo shahabiana na porn videos, unaweza kuta mtu kapost "check out this funny videos " ukifungua ni kweli funny video ila kwenye comment ya hiyo post ni porn videos zinafuata, na mara nyingine una kuta huja follow hizo account zao ila unashangaa videos au picha Wanawake wapo nusu uchi, yaani ni kama algorithm fulani wameweka kwenye huo mtandao hizo videos ziwe lazima kuziona hata kama huja follow account za mambo ya wakubwa.

Kwa kifupi naona XVIDEOS, PORNHUB zimahamia uko twitter kuna videos mpaka za lisaa au nusu saa. Yaani huna haja ya kuwasha VPN ili uingie XVIDEOS AU PORNHUB we download twitter tuu ingia huko utakutana na mavideos ya kishenzi kama yote.

Yaani umekuwa siyo ule mtandao wa kistaarabu au watu wasomi kama zamani ilivyokuwa sasa hivi ni changanyikeni watu wanafanya biashara huko kama instagram, zamani haikuwa hivyo.

Au ni mimi tuu ndiyo naona haya mabadiliko, au kuna settings nimekosea kwenye account yangu ndiyo maana haya mavideos nayaona.

Ushauri wenu jamani.
Hakikisha umeweka filter ya sensitive material pia hizo post ikitokea umekuta hata kwa bahati mbaya kuna option ya "not interested in this post" ukipiga hiyo kwa post za namna hiyo mara mbili tatu, algo itakua inakukwepa kwenye hizo aina,

Mwisho kabisa mitandao ni ya wote wewe huwezi kulazimisha content watu wapost nini, unachoweza ni wewe kujithibiti unataka content gani na hutaki content gani
 
Back
Top Bottom