... Na kayaleta hapa kuwaamsha wadau kwamba hata kuwasha VPN tena sio issue kwao!Mkuu naomba ubold haya maneno ili asome kwa kutulia na aelewe,,mtu anajifanya kulalamika kumbe ni mdau.
Huyu mwenzetu hataki naona😅. Kusafisha macho muhimuKuna wakati mtu anatakiwa kusafisha macho kidogo..
Fanya hivyo kama inakukwazaAsante sana umenipa mwanga ngona nikawacheki ni unfollow tuu
vp bibieh, wewe kwa upande wakoFanya hivyo kama inakukwaza
Nina account mbili.vp bibieh, wewe kwa upande wako
JF iko vizuri. Ukisoma uzi mmoja wa Lucas Mwashambwa tayari siku imeisha.Nimefanya hivyo na Facebook zote nimeondoa binafsi nimekuta jf kuwa friendly zaidi hasa kwa afya ya akili
Facebook ina unafuu ila hawa wanaojiita content creator ndo wanazidi kuuharibu. Twitter au X ni mtandao wa ngono kwa sasa.Muda si mrefu na mimi nitafanya hivi mkuu maana ni shida, huku picha za ajabu nikifungua facebook sasa hivi nako ni hivyo hivyo mpaka aibu kufungua hiyo mitandao mbele za watu.
Kumbe na wew umeona eh. Content creators hata mimi nimeona ana post video ya kichekesho ukifungua sehemu ya comment una Kutana na videos za ajabu mwanzo mwishoFacebook ina unafuu ila hawa wanaojiita content creator ndo wanazidi kuuharibu. Twitter au X ni mtandao wa ngono kwa sasa.
Nipo Twitter au X mboni sijawahi kukutana na huo ubwege wewe utakua unazifuataKwa kifupi naona XVIDEOS, PORNHUB zimahamia uko twitter kuna videos mpaka za lisaa au nusu saa. Yaani huna haja ya kuwasha VPN ili uingie XVIDEOS AU PORNHUB we download twitter tuu ingia huko utakutana na mavideos ya kishenzi kama yote.
Mkuu algorithm ya instagram naitoje maana ni aibu kwa kweliSocial media algorithm hiyo mkuu, ni lazima umewahi fanya haya hapa chini:
1. Kufungua porn yenye zaidi ya 30 seconds kama mara 3
2. Kuikuta post yenye maudhui kama hayo ukaidokolea macho bila kuifungua kwa sekumde 10 au zaidi
3. Una watu ulio follow wao ni wadau wa hizo mambo, na algorithm huashumu same birds flocking together.
La kufanya nenda kwenye settings, privacy na untick or toggle off baadhi ya features na hutoona tena madudu.
Usisahau robot za mfano social media huwa zina record user behaviour na zenyewe zina trigger algorithm ikuletee maudhui kutokana na user behaviour yako. So chanzo ni wewe. Ukisha malizana na settings anza kufuatilia maudhui mengine uone kama nayo hayatajaa.
YeahTatizo ni kwamba umefollow accounts (watu) wa hovyo wanaopenda hayo mambo.
Sio kweliHiyo algorithims work based on your interest. If ulishawahi ku like hizo picha, or follow mtu mwenye hizo content lazima ukutane na madudu. Kuna feature kwenye twitter uki enable hayo maudhui huyaoni tena.
Mkuu algorithm ya instagram ni tofauti kidogo kutokana na architecture iliyotumika ku create instagram, yenyewe ipo kwenye ile page a browsing, yani ukibofya pale kwenye search lens ukianza kufungua content ambazo unazipenda sana kwa wingi basi kila ukifungua pale search page kwenye lens utaziona video au pictures zenye behaviour sawa na unavo angaliaga, ila home page ya instagram yenyewe sio behaviour display ila inatokana na account ulizo zi follow tu. So x/twitter yenyewe homepage yake ni behaviour ila instagram homepage yake ni accounts follow.Mkuu algorithm ya instagram naitoje maana ni aibu kwa kweli
Hakikisha umeweka filter ya sensitive material pia hizo post ikitokea umekuta hata kwa bahati mbaya kuna option ya "not interested in this post" ukipiga hiyo kwa post za namna hiyo mara mbili tatu, algo itakua inakukwepa kwenye hizo aina,Kama kicha cha Habari kinavyo jieleza, nina account Twitter na zamani nilikuwa napenda sana kutumia huu mtandao yaani kuliko instagram ila kwa sasa naona yamenishinda.
Kwenye account yangu sija follow account yoyote yenye mambo ya ngono au porn account ila sasa naona watu wana post sana video zinazo shahabiana na porn videos, unaweza kuta mtu kapost "check out this funny videos " ukifungua ni kweli funny video ila kwenye comment ya hiyo post ni porn videos zinafuata, na mara nyingine una kuta huja follow hizo account zao ila unashangaa videos au picha Wanawake wapo nusu uchi, yaani ni kama algorithm fulani wameweka kwenye huo mtandao hizo videos ziwe lazima kuziona hata kama huja follow account za mambo ya wakubwa.
Kwa kifupi naona XVIDEOS, PORNHUB zimahamia uko twitter kuna videos mpaka za lisaa au nusu saa. Yaani huna haja ya kuwasha VPN ili uingie XVIDEOS AU PORNHUB we download twitter tuu ingia huko utakutana na mavideos ya kishenzi kama yote.
Yaani umekuwa siyo ule mtandao wa kistaarabu au watu wasomi kama zamani ilivyokuwa sasa hivi ni changanyikeni watu wanafanya biashara huko kama instagram, zamani haikuwa hivyo.
Au ni mimi tuu ndiyo naona haya mabadiliko, au kuna settings nimekosea kwenye account yangu ndiyo maana haya mavideos nayaona.
Ushauri wenu jamani.