Twitter imegeuka kiwanda cha video za ngono (porn)

Hizo ni nadharia za watu, sisemi kwamba hazileti madhara ila nasema kwamba watu wenyewe ndo wameamua hivo, watu wa production wanaangalia watu wengi wanapenda nini zaidi wao wanaingia kazini, ni sawa na kelele za kwamba bongo fleva inaua maadili ilhali hali juzi/jana tu ikulu watu wamealikwa futari ikiwepo waimbaji wakubwa wa nyimbo zisizo na maadili , na hatuwezi laumu sana kwa sababu fan base yenyewe ndo inawakubali sana hao wasanii.



Janga ni kubwa ila tupunguze hizi nadharia kwamba kitu fulani kimewekwa kwa lengo fulani,
 
Mkuu hiyo hiyo kwenye search hapa kuna namna naweza kuzitoa madude aya?
 
Umeongea bonge la point Mkuu nimesha fanya ulicho nielekeza hapa Mkuu. Asante sana
 
Reactions: Lax
Asante kwa ufafanuzi Mkuu...
 
Naona wako kwenye mpango mkakati wa kummaliza mwanaume Mkuu.
 
Aah ndiyo mwanzo wa
Huyu mwenzetu hataki naonaπŸ˜…. Kusafisha macho muhimu
upungufu wa nguvu za kiume nasikia, nita safisha macho ana kwa ana nikiwa na mwanamke live siyo kwa kutumia videos πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni mtundu sana ina elekea...πŸ˜‚πŸ˜‚ Siyo kwa akili hii
 
Boora ume ongea
Hii shida imekuwa ni kubwa sana..... Hadi inafika wakati naogopa kufungua app ya Twitter mbele zawatu.... Ni aibu
MKUU, hawa wengine wanasema eti nime follow hizo account... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kumbe wapi yanakuja mavitu wala sijui yanako tokea
 
Serikali imefungia websites za maudhui haya ila imeusahau huu mtandao naona, yaani content za kila aina unazipata pale, ni hatari sana.
 
Nime-uninstall hiyo App kwasababu ya hizo mambo. Binafsi siwezi kuona picha ya pisi kali nisiifungue kutazama. Kwahiyo ili kuepusha nimeondoa kabisa hiyo App
Bado haujafanya jambo moja nalo ni:-
Achana na smartphone rudi kwa kitochi utapumzisha nafsi.
 
unazitafuta mkuu kama unawa follow wacheza porn utapata porn ukifollow wana michezo utaletewa wana michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…