Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Wewe huwa unatetea sanaa kila kitu afanyacho Magu sasa hata trailer halijaanza ushaanza lialia kuzima mitandao ni mojawapo ya kazi za JPM viva Magufuli binya hawa ccm wenzio mpaka wapate akili hawa na bado mitano yenu mbele hiyo ishafika utapiga sana mayowe hapa kazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…