Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Ivi kwani ZEC matokeo yaleo wanayatoa lini maana sijayaona kwenye fixture yaleo princessbet
 
Kwani tuna mkataba nao wowote ule kikazi na Twitter? Hii ni territory yetu tunafanya tutakavyo, wasitupangie.
✓Kama utaki kupangiwa unatafuta nini apa Jamiii Forum. Au unafikiri wasapu, Facebook, Instagram, Twitter. Ni Kwa ajili ya siasa peke yake kuna bihashara nyingi zinakufa Leo na kupata hasara kwa sababu ya maswala ya siasa
 
Wasikupangie wewe na nani yako ?? Acha kujichetua ndugu yangu. Hizo pesa mnazopewa na kuja kutuvutuga na kushabikia upuuzi kuna siku mtatamani msingezipokea. Hivi unazima internet ili iweje ? Kama chama chenu kipo vizuri hiyo hofu hadi mnazima internet inatoka wapi ?

Mambo yenu ya siasa mnatufanya na wengine ambao hatujihusishi na siasa tunaumia hivi hivi.! Haya leo makampuni ya simu ya mepoteza pesa kiasi gani kwa kuzima internet?

Na serikali imepoteza kodi kupitia internet kiasi gani!? Kiasi kikubwa sana. Hebu acheni kushabikia utoko utoko kisa wewe umepewa hela ya kula mwaka mzima wewe na familia yako.
 
muandalieni chumba chake huko the Hague.
Mumuwekee na mbu bila net.
Na mlo mmoja kwa siku.
 
CHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
Fikiria vizuri, kwani CCM aiwezi kutumia ili kusudi kuzuia taarifa za ukweli?
 
Wakwende huko.. hatutawaliwi na vya kwetu.. wameshindwa kutudaka nchi yetu.. mipango yote pigwa nyundo.. Magufuli Baba Lao

Ametusaidia sana wananchi na nchi yetu.. kuna mengi kayaziba na amani tunayo

💛💚💛💚💛💯💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
 
Wewe huwa unatetea sanaa kila kitu afanyacho Magu sasa hata trailer halijaanza ushaanza lialia kuzima mitandao ni mojawapo ya kazi za JPM viva Magufuli binya hawa ccm wenzio mpaka wapate akili hawa na bado mitano yenu mbele hiyo ishafika utapiga sana mayowe hapa kazi tu
Wewe pimbi nyamaza, ni lijinga sana, mnapenda kututukania rais wetu, ngoja tuwatose then tuwakomoe wapumbavu nyie mtahama nchi, ni hasara kuwa na watu ka ninyi ktk taifa
 
Tuna zidi kukusanya ushahidi wa kwenda ICC
ICC ndiye mama yako? Huyo kibaraka wenu anatoswa na bado muziki lazima akomeshwe kabisa, nyie wafuasi mmoja mmoja itabidi mkimbie nchi wapumbavu kabisa
 
✓Kama utaki kupangiwa unatafuta nini apa Jamiii Forum. Au unafikiri wasapu, Facebook, Instagram, Twitter. Ni Kwa ajili ya siasa peke yake kuna bihashara nyingi zinakufa Leo na kupata hasara kwa sababu ya maswala ya siasa
Achana na mpumbavu huyo hana akili kabisa
 
Wakwende huko.. hatutawaliwi na vya kwetu.. wameshindwa kutudaka nchi yetu.. mipango yote pigwa nyundo.. Magufuli Baba Lao

Ametusaidia sana wananchi na nchi yetu.. kuna mengi kayaziba na amani tunayo

[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji817][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
We unapigwa kweli ... endelea kugawa
 
✓Kama utaki kupangiwa unatafuta nini apa Jamiii Forum. Au unafikiri wasapu, Facebook, Instagram, Twitter. Ni Kwa ajili ya siasa peke yake kuna bihashara nyingi zinakufa Leo na kupata hasara kwa sababu ya maswala ya siasa
Wasikupangie wewe na nani yako ?? Acha kujichetua ndugu yangu. Hizo pesa mnazopewa na kuja kutuvutuga na kushabikia upuuzi kuna siku mtatamani msingezipokea. Hivi unazima internet ili iweje ? Kama chama chenu kipo vizuri hiyo hofu hadi mnazima internet inatoka wapi ?

Mambo yenu ya siasa mnatufanya na wengine ambao hatujihusishi na siasa tunaumia hivi hivi.! Haya leo makampuni ya simu ya mepoteza pesa kiasi gani kwa kuzima internet?

Na serikali imepoteza kodi kupitia internet kiasi gani!? Kiasi kikubwa sana. Hebu acheni kushabikia utoko utoko kisa wewe umepewa hela ya kula mwaka mzima wewe na familia yako.
Soma Sheria za mawasiliano za kimataifa na hata katiba yako huijui?
Hii mitandao lazima idhibitiwe , nyie mnalalamika sababu mnataka kuitumia kuleta taharuki nchini, serikali ya tanzania ina wajibu wa kulinda watu na mali na kuzuia viashiria vyote vile vya uvunjivu wa amani.

lolote likitokea hapa amani ikatoweka, hakuna, biashara wa sheria za kimataifa, kila kitu kitasimama, hacheni ushabiki wa mitandaoni watakaoumia ni ndugu zetu.
 
Itakuwa vizuri sana pia tukipiga kampeni kule Twitter kutokana na kitengo hiki maccm yote kule Twitter yapigwe pin ya maisha kwa upuuzi waliofanya.
Tuna zidi kukusanya ushahidi wa kwenda ICC
 
Wakwende huko.. hatutawaliwi na vya kwetu.. wameshindwa kutudaka nchi yetu.. mipango yote pigwa nyundo.. Magufuli Baba Lao

Ametusaidia sana wananchi na nchi yetu.. kuna mengi kayaziba na amani tunayo

[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji817][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Hahaha MATAGA kelele zote hizi huku umedownload VPN... kumbe mnajua umuhimu wa kuwa na uhuru wa habari... la sivyo leo mngezima simu mkalala tu. Kwanini hamumsikiliza baba akiwaambia kitu?
 
Back
Top Bottom