nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Kama watu waliingia mtandao wa NEC kwahiyo ndiyo wapigwe tu na wauwae huko zanzinzibarKaka watu huwa wanahack system za NEC kipindi hiki cha uchaguzi. 2015 watu waliingilia mtandao wa NEC kwahiyo kujihadhari ni vizuri
Kama watu wanaweza kuingia kwenye tovuti ya NEC kufunga mitandao kunaweza kusaidia kitu kwa hao wenye uwezo huo wasiweze kupata internet kweli?