Wasikupangie wewe na nani yako ?? Acha kujichetua ndugu yangu. Hizo pesa mnazopewa na kuja kutuvutuga na kushabikia upuuzi kuna siku mtatamani msingezipokea. Hivi unazima internet ili iweje ? Kama chama chenu kipo vizuri hiyo hofu hadi mnazima internet inatoka wapi ?
Mambo yenu ya siasa mnatufanya na wengine ambao hatujihusishi na siasa tunaumia hivi hivi.! Haya leo makampuni ya simu ya mepoteza pesa kiasi gani kwa kuzima internet?
Na serikali imepoteza kodi kupitia internet kiasi gani!? Kiasi kikubwa sana. Hebu acheni kushabikia utoko utoko kisa wewe umepewa hela ya kula mwaka mzima wewe na familia yako.