Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Nahisi Donald Trump anapenda tunayoyafanya Tanzania.
kwanza jinsi ya kupiga kura,wao muda umeisha lakini bado hawajaafikiana watumie mtindo upi.
Pili mitandao ya kijamii,hata DT anapenda izimwe ili akili zielekezwe upande mmoja tu kwenye uchaguzi.
 
Halafu kuna mipumbavu kama masanja yanasema hayaoni tatizo! Trash kabisa
 
CHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
Acha kushangilia maumivu ya wengi. Kitendo hiki kinatuumiza sana sisi wafanyabiashara kwa njia ya mitandao. You deserve to be called a sadist.
 
Leo ni kura za kishindo kwa Magufuli tuu..

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Uchaguzi ni tukio mhimu Sana katika kulinda au kuvuruga amani ya nchi

Hivyo Basi ni jukumu la serikali kuhakikisha Taifa linakuwa salama wakati huu wa uchaguzi. Na kwa Dunia Hii ya leo Internet ndio sehemu ya kuangalia zaidi kuliko hata huku kwenye maisha ya kawaida.
Leo ndo mmeanza kuogopa keyboard warriors? Si mlikuwa mnatutukana?
 
Wewe pimbi nyamaza, ni lijinga sana, mnapenda kututukania rais wetu, ngoja tuwatose then tuwakomoe wapumbavu nyie mtahama nchi, ni hasara kuwa na watu ka ninyi ktk taifa
matusi ya nini sasa, nani amtukuna huyo anayetaka Sugu amsugue? hasira za kunyimwa buku 7 unaniletea miye pambana na hali dada miaka mitano ya njaa inaendelea jipange kungali bado kuna siku chache
 
CCM wamefanya kazi kubwa sana ,nashangaa wanafanya haya ili kumfaidisha nani aisee, yaani inasikitisha sana mf .Mimi nitampa tu magufuli
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
 
Kilichofanyika ni shambulizi dhidi ya uhuru na hali za watanzania, natamani dunia iingilie kati
Hiyo dunia ikuingilie wewe na mkeo,
Kila kitu dunia dunia jwa nini usisubili sku iishe wakurudishie haya mahitaji yako,
 
CHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
mnawaza Siasa tu

hamuwazi loss zitakazokuwa zimetokea?
 
Sijaona sababu hasa ya kufunga hii mitandao.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app

Ni ujinga tu na kukosa kujiamini..! Kila siku mnajinadi humu oooh jiwe kafanya hili kafanya lile... ni kweli kazi zake zinaonekana basi jiaminini kuwa mtashinda mnashindwa nini ?? Siasa zenu mbaya mbaya mnatuletea usumbufu sisi ambao tunawachagueni..!
 
Hii ndio nini?!
Screenshot_2020-10-28 Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania.png

Posti yako inaonesha huwezi kupata twitter page ya waziri mkuu wa India, nikaona nikuwekee.
 
Kuna jambo linakusudiwa kutekelezwa, laweza kuwa zuri kwa wengi au zuri kwa wachache
NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanalibaka sanduku la kura Tanganyika na kule Zanzibar wanaficha unyama unaoendelea kule
 
Ni ujinga tu na kukosa kujiamini..! Kila siku mnajinadi humu oooh jiwe kafanya hili kafanya lile... ni kweli kazi zake zinaonekana basi jiaminini kuwa mtashinda mnashindwa nini ?? Siasa zenu mbaya mbaya mnatuletea usumbufu sisi ambao tunawachagueni..!
Kazi zake zipi zinainekana? Kwani mtukufu magufuli hutumia pesa zake binafsi tokea mfukoni au ni kodi za watanzania wote? Kwani maendeleo ni Hisani za CCM? ni pesa binafsi za CCM au pesa za walipa kodi?
 
Ni ujinga tu na kukosa kujiamini..! Kila siku mnajinadi humu oooh jiwe kafanya hili kafanya lile... ni kweli kazi zake zinaonekana basi jiaminini kuwa mtashinda mnashindwa nini ?? Siasa zenu mbaya mbaya mnatuletea usumbufu sisi ambao tunawachagueni..!
CCM ndiyo hawajiamini ndiyo maana wamefanya huu upumbavu ili wapate mwanya wa kufanya uchakachuaji wizi wa kura
 
Kitendo cha Mauwaji ya Wananchi huko Visiwani na hapa Bara CCM imejichimbia Kaburi ambalo inaenda kuzikwa baada ya Uchaguzi
ICC tayari wanawasubiria mara baada ya uchaguzi mkuu watafikishwa ICC The Hague
 
Back
Top Bottom