Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

Twitter wamesema wameshuhudia mtandao wao ukiminywa nchini Tanzania

mabeberu na mawakala wao wamebanwa mbavu wanalia lia,wasubiri uchaguzi upite salama kwanza
Mlitaka kuvuruga nchi mlidhani tutalala
 
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Kupata 50% si kazi rahisi....watu wengi hawajajiandikisha, wapinzani wengi walijiandaa, usidhani kijani n wajinga
 
CHADEMA walikuwa wamejiandaa kwa disinformation ili kuleta taharuki na machafuko, vyombo vya usalama vimeona isiwe tabu, mtu anawekwa kibra kimya kimya sasa hivi hadi j2 au j3 social media ikirudi kazi imeisha.
Si mlidai wapiga kura hawako kwenye keyboard.... 😁😁😁😁😁
 
wafungulie December tuu
radio zipo....TV zipo.....magazeti yapo....na posta zipo
 
Huna haja ya kutukana watu, tumia lugha ya kistaarabu.
CCM haina ustaarabu.
Wana CCM ustaarabu kwao ni ardhi na mbingu.
"Upumbavu " na "pumbavu" kikawaida sio tusi,bali ni awamu hii tu hilo neno pamoja na ukweli ndio vimekuwa matusi.
 
Mtu mmoja muoga wa mabadiliko ndo uwanyima wengine haki ya mawasiliano twitter wamfungulie mashtaka. Ila amechangia kupungua kwa kura zake kwa hili kila mtz ameshaiona hila zake si nzuri
 
Kuna international students katika nchi hiii wanasoma online, hakuna mtandao nini maana ake? Miaka ya giza ndo hii? Najiuliza tu Uoga wa nn?
Madikteta wote huwa ni waoga Sana thus utegemea kukamilishwa na nguvu ya dola
 
Kazi zipi? Hapo ulipo kama sio wewe basi kuna ndugu zako wanaishi kwa umasikini wa kutisha, endelea kusigia ujinga
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
 
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Kwani wewe nani mkuu? "Niisingeshangaa" nikijua umaarufu usiokuwa nao.

Azimaye mitandao hana tofauti na asifuye mvua. Cha moto anakikujua!

Cc Mi-CCM yote.

Vipi nyie mnaoshinda kwa kishindo mbona mmechachawa?
 
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.
Mkuu hii imetokana na uzushi wa wapumbavu wachache wangeanza kudownload picha za mauji na kusema ni tz.
 
Ila kwa kazi za JPM, haya hayakuitajika kabisa. Wanaua sisimizi kwa nyundo bila sababu. Kwa Zanzibar nisingeshangaa ila sio bara.

Pamoja na maombi makubwa ya jana toka kwa viongozi wa imani mbali mbali...
 
Tatizo ipo kwenye Apple store ambaye kwa mimi device yangu apple store hazifunguki. Tunashindwa kufurahia maisha yetu ya kila siku kwa sababu ya mambo yao ya siasa. Ovyo sana hawa watu
Duuh! Vipi ukisearch Google kwenye kwenye third-party sites walizo host package zake! Em jaribu kudownload hii altstore

Back
Top Bottom