Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

Chance pekee inayoweza kuwafanya Waafrika kuendelea ni kuwa na madikteta. Watu wameaminishwa kuwa madikteta ni wauaji kumbe sivyo hata kidogo.
hiyo inategemea na aina ya madikteta mkuu..maana kuna madikteta wa maendeleo ya nchi na uchumi mfano kule Russia na China na kidogo Kagame na pia kuna madikteta wa ufisadi wa mali na wizi na madaraka hawa tunao huku afrika
 
Maendeleo ni gradual process kama hakutakuwa na vizuizi toka nje naamini watasonga
Mikopo toka nchi za Magharibi huja na terms n conditions nyingi na ngumu ambazo ni vikwazo kwa maendeleo ya nchi husika
Nchi gani imewahi zuowa kufanya maendeleo kutoka Nje? Hivi ni visingizio vya wajinga.

Kama wajua maendeleo ni process Sasa too much sifa zinatoa wapi wakati hakuna kitu extra ordinary kimefangwa? Mbona Nchi zingine zinafanya zaidi ya hayo na hakuna sifa kede kede kama mnazompa.huyo dogo wenu
 
Too much sifa hapo umeziona wapi?

Extra ordinary kwako Ina maana gani nipe mfano wa Nchi ambayo kwako imefanya kitu kwa Africa hii mkuu
 
hiyo inategemea na aina ya madikteta mkuu..maana kuna madikteta wa maendeleo ya nchi na uchumi mfano kule Russia na China na kidogo Kagame na pia kuna madikteta wa ufisadi wa mali na wizi na madaraka hawa tunao huku afrika
Hata Africa wametokea madikteta wazuri. Gaddhafi, Sankara, Misri na Shelisheli. Na za Asia kama Mynmar na Phillipines zimewahi pata madikteta wa hovyo.
 
Nchi gani imewahi zuowa kufanya maendeleo kutoka Nje? Hivi ni visingizio vya wajinga.
Are You Serious ? Refer hapo hapo our fellows Burkinabe's na yaliyompata Sankara, au ulizia part waliyokuwa wanacheza CIA au kama vipi ulizia yaliyompata Patrice Lumumba..., In short kipindi cha Cold war ukienda na mmoja fahamu mwingine anakurarua, Au kama unadhani hizi ni conspiracy fuatatilia meneno anayosema sasa hivi Trump kuhusu Panama...

Au kama haitoshi na unatoka mfano ambao ni black and white vipi kuhusu Guatemala ?
On June 27, 1954, democratically elected Guatemalan president Jacobo Árbenz Guzmán was deposed in a CIA-sponsored coup to protect the profits of the United Fruit Company. Árbenz was replaced by decades of brutal U.S.-backed regimes who committed widespread torture and genocide.

Vipi niendelee ? Sababu hapo naongelea kuingiliwa kwa mabavu na physically naweza kuanza kuongelea kuingilia kwa kuwekewa sanctions / vita vya kusingiziwa au hata kupitia taasisi kama IMF kushinikizwa kufanya reforms wanazotaka au sehemu ya kuchukua mikopo na watu wa kuendesha taasisi zenu..
 
Hakuna chochote Cha maana alikuwanachi huyo Samkara sawa na huyu anaefanya maihizo mnamsifia.
 
Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Slaverly mentality
 
Kwani unayejadili naye akili yake iko sawa?
 
1. Burkina Faso's GDP grew from approximately $18.8 billion to $22.1 billion.

2. He has rejected loans from the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. He said, "Africa doesn't need the World Bank, IMF, Europe, or America."

3. He reduced the salaries of ministers and parliamentarians by 30% and increased the salaries of civil servants by 50%.

4. He paid off Burkina Faso's local debts.

5. He established two tomato processing plants, the first-ever in Burkina Faso.

6. In 2023, he inaugurated a state-of-the-art gold mine to enhance local processing capabilities.

7. He stopped the export of unrefined Burkina Faso gold to Europe.

8. He built Burkina Faso’s second cotton processing plant. Previously, the country had only one.

9. He opened the first-ever National Support Center for Artisanal Cotton Processing to assist local cotton farmers.

10. He banned the wearing of British legal wigs and gowns in local courts and introduced traditional Burkinabé attire.

11. He prioritized agriculture by distributing over 400 tractors, 239 tillers, 710 motor pumps, and 714 motorcycles to boost production and support rural stakeholders.

12. He provided access to improved seeds and other farm inputs to maximize agricultural output.

13. Tomato production in Burkina Faso increased from 315,000 metric tonnes in 2022 to 360,000 metric tonnes in 2024.

14. Millet production rose from 907,000 metric tonnes in 2022 to 1.1 million metric tonnes in 2024.

15. Rice production increased from 280,000 metric tonnes in 2022 to 326,000 metric tonnes in 2024.

16. He banned French military operations in Burkina Faso.

17. He banned French media in Burkina Faso.

18. He expelled French troops from Burkina Faso.

19. His government is constructing new roads, widening existing ones, and upgrading gravel roads to paved surfaces.

20. He is building a new airport, the Ouagadougou-Donsin Airport, which is expected to be completed in 2025 with a capacity to handle 1 million passengers annually.
Huku tuna jamaa wa leaders club na ABDUL! Tutaendelea kivipi?!
🤬🤬🤬🤬🤬 Banana Republic!
 
Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Burikafaso is free debt country. Get your fact straight.
 
Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Unajua wewe jamaa ingawa hatuajuani humu lakini mizaha mingine si mizuri. Huoni jitihada ya Traore ktk kuikomboa nchi yake kweli?
 
Hakuna chochote Cha maana alikuwanachi huyo Samkara sawa na huyu anaefanya maihizo mnamsifia.
Is that the point kuhusu Sankara au huyu au umeuliza swali ni nchi gani iliingiliwa nikakujibu ? Kwahio wewe unaona kuingiliwa sio issue...

Anyway ngoja nikwambie ni nini Sankara alifanya na alifanya hayo sio jana wala juzi bali miaka mingi iliyopita which makes him a visionary... na alifanya hayo kwa muda wa miaka minne tu.... (1983-87).
  • Alibadilisha jina la nchi yake na kuwa Burkina Faso; ikimaanisha “Land of Incorruptible People,” hio inaonesha vision yake ni nini na nini alikitaka na wapi alitaka kufika
  • He vaccinated 2.5 million children against meningitis, yellow fever and measles in a matter of weeks.
  • He initiated a nation-wide literacy campaign, increasing the literacy rate from 13% in 1983 to 73% in 1987.
  • He planted over 10 million trees to prevent desertification (wakati watu wanafanya maigizo sasa hivi ya mazingira na kuleta story za nishati safi na kuhimiza kutumia LPG kwa kununu kutoka nje) huyu alikuwa true believer na doer, hata wakati hii haijawa a political token
  • He built roads and a railway to tie the nation together, without foreign aid
  • He appointed females to high governmental positions, encouraged them to work, recruited them into the military, and granted pregnancy leave during education. (wakati kipindi hicho mfumo dume ulikuwa ni issue ya kawaida)
  • He outlawed female genital mutilation, forced marriages and polygamy in support of Women’s rights
  • He sold off the government fleet of Mercedes cars and made the Renault 5 (the cheapest car sold in Burkina Faso at that time) the official service car of the ministers. (Wakati sasa hivi kuna wapuuzi wanatumia kodi za masikini wa kutupwa asiye na ambulance eti kuleta magari ya Chama, i.e. mkoloni / myonyaji sio lazima atoke nje ya nchi)
  • He reduced the salaries of all public servants, including his own, and forbade the use of government chauffeurs and 1st class airline tickets.
  • He redistributed land from the feudal landlords and gave it directly to the peasants. Wheat production rose in three years from 1700 kg per hectare to 3800 kg per hectare, making the country food self-sufficient. (wakati huku sasa hivi kutembeza bakuli na kuomba omba na kuambiwa kwamba sisi hatuwezi na tulete wengine wanaweza ndio sifa)
  • He opposed foreign aid, saying that “he who feeds you, controls you.” (sasa hivi kuomba imekuwa sifa)
  • He spoke in forums like the Organization of African Unity against continued neo-colonialist penetration of Africa through Western trade and finance.
  • He called for a united front of African nations to repudiate their foreign debt. He argued that the poor and exploited did not have an obligation to repay money to the rich and exploiting
  • In Ouagadougou, Sankara converted the army’s provisioning store into a state-owned supermarket open to everyone (the first supermarket in the country).
  • He forced civil servants to pay one month’s salary to public projects. (Kwa hili unaweza kumuita Dictator lakini bora Tozo hizi zinazofanya kazi kuliko hizi zinazochukuliwa sasa kwa lazima ili zikatumike for luxuries)
  • He refused to use the air conditioning in his office on the grounds that such luxury was not available to anyone but a handful of Burkinabes. (Sasa hivi kuna watu wanaona sifa kununua magari V8 kwa pesa ya masikini ambaye hana hata baiskeli ya kumpeleka hospitali.., scratch that hata akienda hospitali ataishia maiti yake kushikiliwa sababu hakulipa pesa za matibabu)
  • As President, he lowered his salary to $450 a month and limited his possessions to a car, four bikes, three guitars, a fridge and a broken freezer.
  • A motorcyclist himself, he formed an all-women motorcycle personal guard.
  • He required public servants to wear a traditional tunic, woven from Burkinabe cotton and sewn by Burkinabe craftsmen. (The reason being to rely upon local industry and identity rather than foreign industry and identity) kama huelewi hio ni leading by example sio sasa hivi hata badala ya kutumia umeme wetu tunatumia pesa za kigeni kununua nishati ya kupikia Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala
  • When asked why he didn’t want his portrait hung in public places, as was the norm for other African leaders, Sankara replied “There are seven million Thomas Sankaras.” (Huku kuna mtu alifungwa Jela kwa kuchoma picha ya Rais..., one has to ask the meaning of dictator sababu practically I do not understand it anymore)
  • An accomplished guitarist, he wrote the new national anthem himself; (Not only a leader but a talented individual)

Kwahio if such people have been uprooted from their own how do you expect Africa as a continent to progess ? Mbaya zaidi sasa hivi mental slavely imesababisha hata kutokuwa na sababu ya kutumia mabavu.., watu wanapeleka nchi yao kuiuza wala bila shuruti...

Quoting the Words of a Man Himself.., It is better to move One Step with the People than Ten Steps Without,
 
Back
Top Bottom