Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Kwa haraka haraka una point kubwa sana kaka; kwamba vitu vilivyo orodheshwa hapa ni vidogo sana kwa nchi kama Burkinafaso cause hapa kwetu tunavyo but ukifatilia historia yao na nchi zote zinazo ongea Kifaransa hapa Africa, utampongeza sana huyo Thomas Sankara the second. Iko hivi, nchi za west Africa ambazo ni French speaking countries, ni masikini wa kipitiliza; Ufaransa amekua anazinyonya nchi hizo bila huruma, ukiingia kwenye supermarkets zao hadi biscuits ni from Ufaransa. Hivi ajira za wananchi wao zitapatikanaje? Fikiria tu, why wachezaji wengi wa mpira (I said wengi) ni from French speaking countries? Majority wanatokea familia masikini sana. Mapato yanayokusanywa na TRA zao bado kuna sehemu ya hizo fedha zinatakiwa kwenda kuwekwa Ufaransa. Chunguzeni pia nchi za Togo, Burkinafaso, Mali, Niger and all French speaking countries kama zina central bank, kama hazina go and find out why that. Long live this president
 
Chance pekee inayoweza kuwafanya Waafrika kuendelea ni kuwa na madikteta. Watu wameaminishwa kuwa madikteta ni wauaji kumbe sivyo hata kidogo.
Hivi Afrika ni lini imekuwa na viongozi wasio madikteta au wewe hata historia ya bara lako huijui.
 
Nchi gani imewahi zuowa kufanya maendeleo kutoka Nje? Hivi ni visingizio vya wajinga.

Kama wajua maendeleo ni process Sasa too much sifa zinatoa wapi wakati hakuna kitu extra ordinary kimefangwa? Mbona Nchi zingine zinafanya zaidi ya hayo na hakuna sifa kede kede kama mnazompa.huyo dogo wenu
Anapongezwa, sababu inaonekana watangulizi wake hawakufanya lolote kama yeye.
 
Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Huna lolote wewe na hao madalali wenzako. Ni wivu tu hapa ndiyo umekujaa. Maana hajasifiwa mama yako anayetapanya tu fedha zetu, kwa mambo ya hovyo.
 
Angesifiwa Mama samia hapa, ungefurahi kweli. Ila kusifiwa kijana mdogo mwenye maono ya kweli kwa nchi yake, ukapandwa na ghadhabu!!
Mama hawezi sigiwa Kwa vitu petty kama hivyo.

Vitu vya kumsifia mama ni kama kujenga viwanja vya ndege zaidi ya 17 Nchi nzima.

Tunavyi vingi sio kusifia tuvitu na tumiradi twa kuokoteza 😂😂
 
Mama hawezi sigiwa Kwa vitu petty kama hivyo.

Vitu vya kumsifia mama ni kama kujenga viwanja vya ndege zaidi ya 17 Nchi nzima.

Tunavyi vingi sio kusifia tuvitu na tumiradi twa kuokoteza 😂😂
Ina maana gani sasa kujenga hivyo vitu kwa mikopo yenye riba kubwa, na pia kwa kuipiga mnada nchi yako!

Kijana mdogo amehakikisha anapunguza mishahara minono ya vigogo serikalini, na wakati huo huo kawaongezea mishahara watumishi wa kima cha chini!

Kijana mdogo amekataa nchi yake kukopa mikopo ya kipuuzi! Na bado hajaiyumbisha nchi yake kiuchumi! Ametoa zana za kilimo kwa wakulima, amehakikisha sekta ya kilimo inaimarika kwa vitendo! Anadhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi!!

Kubalini tu mna vitu vingi vya kujifunza kutoka kwa kijana mdogo Ibrahim Traore!! Huyu ni Mzalendo halisi kwa nchi yake! Na siyo kama hao viongozi wenu mafisadi.
 
Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Jamaa hii spana kwani vita??😹
 
Back
Top Bottom