Two years of Burkina Faso's President Ibrahim TraorĂ© đŸ‡§đŸ‡«

Huku kwetu Rais keshajulikana hata kabla ya kampeni,maajabu haya ya karne.
 
Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.

Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.

Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Wewe ulitakaje?
 
Halafu we jamaa kumbe ndio tabia yako, kila post yenye mema ya Africa unakandia, hivi unakuwa umetumwa au inakuwaje? Maana unakuwa kama mwenndawazimu hivi
 
Good. Mtu anaitukana Africa wakati amezaliwa amekulia na anaishi Africa. Anawapendelea wezi, wauaji na wanaominya haki.
 
Huyo jamaa namjua muda mrefu, ndio tabia yake, nimemkuta na hapa hadi nimestuka, sijui analipwa au ametumwa..
 
Hivyo mnavyodai wamefanya vya maana ni vidogo sana kama wangeshirikiana na wengine ikiwemo kupata mikopo ya nafuu.

Upuuzi wa hivyo uliwahi mshinda Nyerere yaani hiyo dogo anaongoza kitu ambacho haiwezi ku exist kiuhalisia.

Siku uchumi uki burst ndio atakuwa hajui saizi Bado sana ana visingizio
Hujui vingi bro, kila kitu kina pande mbili taja mazuri yake kidogo tuone kama unafatilia au ni chuki tu.
 
Back
Top Bottom