hiyo inategemea na aina ya madikteta mkuu..maana kuna madikteta wa maendeleo ya nchi na uchumi mfano kule Russia na China na kidogo Kagame na pia kuna madikteta wa ufisadi wa mali na wizi na madaraka hawa tunao huku afrikaChance pekee inayoweza kuwafanya Waafrika kuendelea ni kuwa na madikteta. Watu wameaminishwa kuwa madikteta ni wauaji kumbe sivyo hata kidogo.
Nchi gani imewahi zuowa kufanya maendeleo kutoka Nje? Hivi ni visingizio vya wajinga.Maendeleo ni gradual process kama hakutakuwa na vizuizi toka nje naamini watasonga
Mikopo toka nchi za Magharibi huja na terms n conditions nyingi na ngumu ambazo ni vikwazo kwa maendeleo ya nchi husika
Too much sifa hapo umeziona wapi?Nchi gani imewahi zuowa kufanya maendeleo kutoka Nje? Hivi ni visingizio vya wajinga.
Kama wajua maendeleo ni process Sasa too much sifa zinatoa wapi wakati hakuna kitu extra ordinary kimefangwa? Mbona Nchi zingine zinafanya zaidi ya hayo na hakuna sifa kede kede kama mnazompa.huyo dogo wenu
Kila siku kwenye mitandao mnamhadithia huyu mtu wenu dhaifuToo much sifa hapo umeziona wapi?
Extra ordinary kwako Ina maana gani nipe mfano wa Nchi ambayo kwako imefanya kitu kwa Africa hii mkuu
Hata Africa wametokea madikteta wazuri. Gaddhafi, Sankara, Misri na Shelisheli. Na za Asia kama Mynmar na Phillipines zimewahi pata madikteta wa hovyo.hiyo inategemea na aina ya madikteta mkuu..maana kuna madikteta wa maendeleo ya nchi na uchumi mfano kule Russia na China na kidogo Kagame na pia kuna madikteta wa ufisadi wa mali na wizi na madaraka hawa tunao huku afrika
Are You Serious ? Refer hapo hapo our fellows Burkinabe's na yaliyompata Sankara, au ulizia part waliyokuwa wanacheza CIA au kama vipi ulizia yaliyompata Patrice Lumumba..., In short kipindi cha Cold war ukienda na mmoja fahamu mwingine anakurarua, Au kama unadhani hizi ni conspiracy fuatatilia meneno anayosema sasa hivi Trump kuhusu Panama...Nchi gani imewahi zuowa kufanya maendeleo kutoka Nje? Hivi ni visingizio vya wajinga.
Hakuna chochote Cha maana alikuwanachi huyo Samkara sawa na huyu anaefanya maihizo mnamsifia.Are You Serious ? Refer hapo hapo our fellows Burkinabe's na yaliyompata Sankara, au ulizia part waliyokuwa wanacheza CIA au kama vipi ulizia yaliyompata Patrice Lumumba..., In short kipindi cha Cold war ukienda na mmoja fahamu mwingine anakurarua, Au kama unadhani hizi ni conspiracy fuatatilia meneno anayosema sasa hivi Trump kuhusu Panama...
Au kama haitoshi na unatoka mfano ambao ni black and white vipi kuhusu Guatemala ?
On June 27, 1954, democratically elected Guatemalan president Jacobo Árbenz Guzmán was deposed in a CIA-sponsored coup to protect the profits of the United Fruit Company. Árbenz was replaced by decades of brutal U.S.-backed regimes who committed widespread torture and genocide.
Vipi niendelee ? Sababu hapo naongelea kuingiliwa kwa mabavu na physically naweza kuanza kuongelea kuingilia kwa kuwekewa sanctions / vita vya kusingiziwa au hata kupitia taasisi kama IMF kushinikizwa kufanya reforms wanazotaka au sehemu ya kuchukua mikopo na watu wa kuendesha taasisi zenu..
Slaverly mentalityNi upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.
Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.
Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Kwani unayejadili naye akili yake iko sawa?Are You Serious ? Refer hapo hapo our fellows Burkinabe's na yaliyompata Sankara, au ulizia part waliyokuwa wanacheza CIA au kama vipi ulizia yaliyompata Patrice Lumumba..., In short kipindi cha Cold war ukienda na mmoja fahamu mwingine anakurarua, Au kama unadhani hizi ni conspiracy fuatatilia meneno anayosema sasa hivi Trump kuhusu Panama...
Au kama haitoshi na unatoka mfano ambao ni black and white vipi kuhusu Guatemala ?
On June 27, 1954, democratically elected Guatemalan president Jacobo Árbenz Guzmán was deposed in a CIA-sponsored coup to protect the profits of the United Fruit Company. Árbenz was replaced by decades of brutal U.S.-backed regimes who committed widespread torture and genocide.
Vipi niendelee ? Sababu hapo naongelea kuingiliwa kwa mabavu na physically naweza kuanza kuongelea kuingilia kwa kuwekewa sanctions / vita vya kusingiziwa au hata kupitia taasisi kama IMF kushinikizwa kufanya reforms wanazotaka au sehemu ya kuchukua mikopo na watu wa kuendesha taasisi zenu..
Huku tuna jamaa wa leaders club na ABDUL! Tutaendelea kivipi?!1. Burkina Faso's GDP grew from approximately $18.8 billion to $22.1 billion.
2. He has rejected loans from the International Monetary Fund (IMF) and the World Bank. He said, "Africa doesn't need the World Bank, IMF, Europe, or America."
3. He reduced the salaries of ministers and parliamentarians by 30% and increased the salaries of civil servants by 50%.
4. He paid off Burkina Faso's local debts.
5. He established two tomato processing plants, the first-ever in Burkina Faso.
6. In 2023, he inaugurated a state-of-the-art gold mine to enhance local processing capabilities.
7. He stopped the export of unrefined Burkina Faso gold to Europe.
8. He built Burkina Faso’s second cotton processing plant. Previously, the country had only one.
9. He opened the first-ever National Support Center for Artisanal Cotton Processing to assist local cotton farmers.
10. He banned the wearing of British legal wigs and gowns in local courts and introduced traditional Burkinabé attire.
11. He prioritized agriculture by distributing over 400 tractors, 239 tillers, 710 motor pumps, and 714 motorcycles to boost production and support rural stakeholders.
12. He provided access to improved seeds and other farm inputs to maximize agricultural output.
13. Tomato production in Burkina Faso increased from 315,000 metric tonnes in 2022 to 360,000 metric tonnes in 2024.
14. Millet production rose from 907,000 metric tonnes in 2022 to 1.1 million metric tonnes in 2024.
15. Rice production increased from 280,000 metric tonnes in 2022 to 326,000 metric tonnes in 2024.
16. He banned French military operations in Burkina Faso.
17. He banned French media in Burkina Faso.
18. He expelled French troops from Burkina Faso.
19. His government is constructing new roads, widening existing ones, and upgrading gravel roads to paved surfaces.
20. He is building a new airport, the Ouagadougou-Donsin Airport, which is expected to be completed in 2025 with a capacity to handle 1 million passengers annually.
Burikafaso is free debt country. Get your fact straight.Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.
Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.
Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Unajua wewe jamaa ingawa hatuajuani humu lakini mizaha mingine si mizuri. Huoni jitihada ya Traore ktk kuikomboa nchi yake kweli?Ni upuuzi Kwa Mtanzania kuorodhesha tuvitu tudogo kama Hutu kama mafanikio na kusherehekea lakini hajui chochote Cha maana kuhusu Nchi yake hata Mkoani aliko.
Kwangu sijaona Cha maana hapo ambacho wengine Wameshindwa au Cha kunivunia kiasi kwamba iwe habari.
Sana sana hao Wabukinabe wamejichelewesha sana na huyo dogo wao.
Is that the point kuhusu Sankara au huyu au umeuliza swali ni nchi gani iliingiliwa nikakujibu ? Kwahio wewe unaona kuingiliwa sio issue...Hakuna chochote Cha maana alikuwanachi huyo Samkara sawa na huyu anaefanya maihizo mnamsifia.
Jitihadi zipi ambazo wengine hawafanyia na ni spesho sana kwake? Ni zipi hizo?Unajua wewe jamaa ingawa hatuajuani humu lakini mizaha mingine si mizuri. Huoni jitihada ya Traore ktk kuikomboa nchi yake kweli?
Basi sawaJitihadi zipi ambazo wengine hawafanyia na ni spesho sana kwake? Ni zipi hizo?