Two years of Burkina Faso's President Ibrahim Traoré 🇧🇫

Huku kwetu Rais keshajulikana hata kabla ya kampeni,maajabu haya ya karne.
 
Wewe ulitakaje?
 
Halafu we jamaa kumbe ndio tabia yako, kila post yenye mema ya Africa unakandia, hivi unakuwa umetumwa au inakuwaje? Maana unakuwa kama mwenndawazimu hivi
 
Halafu we jamaa kumbe ndio tabia yako, kila post yenye mema ya Africa unakandia, hivi unakuwa umetumwa au inakuwaje? Maana unakuwa kama mwenndawazimu hivi
Good. Mtu anaitukana Africa wakati amezaliwa amekulia na anaishi Africa. Anawapendelea wezi, wauaji na wanaominya haki.
 
Good. Mtu anaitukana Africa wakati amezaliwa amekulia na anaishi Africa. Anawapendelea wezi, wauaji na wanaominya haki.
Huyo jamaa namjua muda mrefu, ndio tabia yake, nimemkuta na hapa hadi nimestuka, sijui analipwa au ametumwa..
 
Hujui vingi bro, kila kitu kina pande mbili taja mazuri yake kidogo tuone kama unafatilia au ni chuki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…