Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turbo ni kifaa kinacho fungwa kwenye chombo ili kuipa nguvu mara dufu, mfano gari isiyo na turbo ikifika mlimani inaanza kushusha gia na kama mlima ni mrefu utajikuta unapanda na moja, ila kama ina turbo inaweza ika maintain speed ile ile bila kushuka ,ni ww na wese lako tuTurbo Ina faida gani?
Ok kwa hiyo hakuna tofauti ya injini kati ya tx na txl?Toleo la LC Prado TXL ni la juu kuliko TX. Tofauti ni kwenye vitu baadhi kwenye TXL viko advanced kama idadi ya airbag, fridge, seat na mwonekano wa seat ni luxury na pia dash board yake ni soft kidogo.
Kwenye bei pale Toyota TXL inasimama 240m na TX 222 kwa automatic
Kwenye engine sijajua mie lakini lazima kutakuwa na tofauti kidogoOk kwa hiyo hakuna tofauti ya injini kati ya tx na txl?
Na mwendo inao sababu engine kubwaSimply hizo huwa wanaziita Trim levels.
Utofauti huwa upo kuanzia kwenye engine na vitu vingine vingi tu kama Sunroof/Moonroof, leather, heated seat, paints strips, comfort n.k.
Mfano kwenye prado TX ndio base model. Maana ukiikuta TXL inakuwa kuna vitu imeongezwa.
Hii kitu iko kwenye gari nyingi.
Mfano pia Premio ina Trim level 3
F yenye Cc1490
X yenye Cc1790
G yenye Cc1990
Apart from huo utofauti wa engine, Ukiendesha G imetulia sana road.
Mluzi wa hatariiIla ya diesel turbo ni balaa na inaizidi ya petrol kwa hp ukiachana na ile 6cly.mluzi wake sasa!
Mluzi uikute lami imenyooka Utafurahi na roho yakoMluzi wa hatarii
Hahahahaha mluzi kama maji yanatokota hivi hadi rahaMluzi uikute lami imenyooka Utafurahi na roho yako
Mkuu tutafute pesaHahahahaha mluzi kama maji yanatokota hivi hadi raha
Yes hiyo G ina engine ya D4, HP zake zinataka kuikaribia 2AZ ya Harrier.Na mwendo inao sababu engine kubwa
Yeah engine ni ya 1AZYes hiyo G ina engine ya D4, HP zake zinataka kuikaribia 2AZ ya Harrier.
Mwendo si haba ukiwa road.
Ni kifaa kinachosaidia injini kupata hewa Kwa wingi gari isio na turbo hewa huingia natural ila yenye turbo hewa husukumwa na turbo na sawa na mtu kukimbia na mtungi wa oxygen huchoki harakaTurbo Ina faida gani?
Prado diamond unajua ni ipi..?? Kwa hio unataka semA lile toleo ni latest kuliko hizo hapo pichani...Kuna hizo gari ni PRADO
zimetolewa katika mfumo wa mfuatano Prado TX ikaja Prado TXL ikafuata Prado Diamond neno Land Cruiser ni sawa linahitajika hapo
Ukiingia Google utaziona na Land Cruiser utaziona GX, VX, VX8 nk
Kwamba TX ina kuja na engine moja? Manake 1kz nadhan pia wanaweka kwenye TX hizo sasa 1kz hp 170 na kitu bado useme mwendo kobe?TXL Ina Turbo Vs TX haina turbo so mwendo wa konokono