TX Vs TXL (Landcruiser)?

TX Vs TXL (Landcruiser)?

Toleo la LC Prado TXL ni la juu kuliko TX. Tofauti ni kwenye vitu baadhi kwenye TXL viko advanced kama idadi ya airbag, fridge, seat na mwonekano wa seat ni luxury na pia dash board yake ni soft kidogo.

Kwenye bei pale Toyota TXL inasimama 240m na TX 222 kwa automatic
Ok kwa hiyo hakuna tofauti ya injini kati ya tx na txl?
 
Simply hizo huwa wanaziita Trim levels.

Utofauti huwa upo kuanzia kwenye engine na vitu vingine vingi tu kama Sunroof/Moonroof, leather, heated seat, paints strips, comfort n.k.

Mfano kwenye prado TX ndio base model. Maana ukiikuta TXL inakuwa kuna vitu imeongezwa.

Hii kitu iko kwenye gari nyingi.

Mfano pia Premio ina Trim level 3

F yenye Cc1490

X yenye Cc1790

G yenye Cc1990

Apart from huo utofauti wa engine, Ukiendesha G imetulia sana road.
Na mwendo inao sababu engine kubwa
 
Turbo Ina faida gani?
Ni kifaa kinachosaidia injini kupata hewa Kwa wingi gari isio na turbo hewa huingia natural ila yenye turbo hewa husukumwa na turbo na sawa na mtu kukimbia na mtungi wa oxygen huchoki haraka
 
COVID-19 wanazo hizo TXL au TX?
 
Kuna hizo gari ni PRADO
zimetolewa katika mfumo wa mfuatano Prado TX ikaja Prado TXL ikafuata Prado Diamond neno Land Cruiser ni sawa linahitajika hapo
Ukiingia Google utaziona na Land Cruiser utaziona GX, VX, VX8 nk
Prado diamond unajua ni ipi..?? Kwa hio unataka semA lile toleo ni latest kuliko hizo hapo pichani...

Prado diamond ni prado j120 3rd generation hizi walinunuaga pia kina ney w mitego


Hizo prado hapo pichani sio kwamba imetoka kwa mfuatano ni zinatoka pamoja kila mtu na option yake hata kwenye simu sio kwamba iphone 12 ya 64GB itoka kwanza ndo badae wakaleta yenye 128Gb

..hizo TX,TXL, TZ, TZG package ni trim zinawakilisha sifa za gari ..gari laja na sifa zipi hata kama zimeshare chasis i.e rim size,, suspension kama ni air suspension au ya kawaida , na sifa kedekede

By the way TZG ndo cruiser Prado yeye features nyingi kuliko wenzie wote

( Nimefupisha kwa sasa ni 01:13Am nasikia usingizi sana)
 
Back
Top Bottom