Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Tayson mng'ata masikio ya wenzie? Simkubali

Goite
 
Angepigana na kina Foreman,Frazier na wengine Wa kizazi kile na kuwashinda ungesema alivivizia vikongwe
 
Ungeweka statistics za hao mabondia wakubwa unaowasema vs statistics za Tyson halafu useme hao mabondia wako bora walipigana na kina nani hadi ukawaita bora kuliko tyson
 
Kama evander angepigana kiume kama Tyson kamwe asingeshinda na angedondoshwa mapema sana. Jamaa kilichomsaidia ni kupiga vichwa huku refa akimbeba na kukumbatia muda karibia wote. Kiufupi evander alishinda kijanja janja tu siyo kwa sababu ni strong
 
Kwahiyo hujaona hapo alipomwambia mwandishi akapigane yeye?
Nimepaona ila naamini kama angepigana nae na kumshinda bado ungekuwa umemuweka Foreman ktk vikongwe walioviziwa na Tyson. Ila kwa sababu hakupigana nae umeifanya point
 
Mohammed Ali alikua anakwepa ngumi sio kukinga,Nafikiri ukirusha ngumi na kupiga hewa unachoka zaidi na hii ilkua inawapa stress wapinzani wake.
Mohammed Ali ni miongoni mwa wale watu waliozaliwa kwaajili ya mchezo wa Ngumi.
Hakuna wakumfikia na atayekuja kumfikia Muhammad Ali
Note: Sijasoma Uzi na comment haihusiani na Uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepaona ila naamini kama angepigana nae na kumshinda bado ungekuwa umemuweka Foreman ktk vikongwe walioviziwa na Tyson. Ila kwa sababu hakupigana nae umeifanya point
No, hii imekua point kwakua Tyson mwenyewe alimkimbia Foreman kwa kutamka, siyo second hand ila alisema MWENYEWE. Ingetokea kwamba hakuwahi kuulizwa juu ya Foreman wala nisingeiweka hapa.

Unajua kidogo kuhusu boxing?
 
Kama evander angepigana kiume kama Tyson kamwe asingeshinda na angedondoshwa mapema sana. Jamaa kilichomsaidia ni kupiga vichwa huku refa akimbeba na kukumbatia muda karibia wote. Kiufupi evander alishinda kijanja janja tu siyo kwa sababu ni strong
Kwahiyo Tyson alivyong'ata ndiyo kiume?
 
Overrated kivipi mkuu wakati jabu zake ziliwafanya wakae round ya pili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujaona point mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…