severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Tyson alipostaafu na ngumi ni kama zilistaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angepigana na kina Foreman,Frazier na wengine Wa kizazi kile na kuwashinda ungesema alivivizia vikongweAngalau unajenga hoja. Hii itafanya iwe rahisi kukuelewesha.
Ukisoma uzi utaona uzi umesema Tyson alichukua mkanda toka kwa Berbick, lakini Berbick alikua ametoka kuuchukua kwa nani? Pinklon. Hii hoja yako inajibiwa na uzi pale mwanzoni tu.
Wakina Holmes ni kizazi cha Ali, kwanini Tyson hakuwahi kumface Ali? Holmes ni kizazi cha Foreman kwanini Tyson hakumface Foreman?
Hata kwa Frazier asingeweza kujipeleka.
Ndiyo maana nakwambia alitegemea kupigana na 'has been' akawa anakwepa mabondia wa kizazi chake. Ikitokea anadeal na bondia wa kizazi chake basi ujue ni journeyman.
Ndiyo maana hautapata siyo majina 3 bali hata 1 la accomplished boxer ambaye alipigana na Tyson halafu Tyson akashinda. Weak chin, protected by promoters, coach na hype ya media.
Hata mleta madatyson hata mimi nampiga
[emoji2]Hupendi chakula cha kihindi halafu unazunguka zunguka mgahawa wa kihindi!!??
Nimepaona ila naamini kama angepigana nae na kumshinda bado ungekuwa umemuweka Foreman ktk vikongwe walioviziwa na Tyson. Ila kwa sababu hakupigana nae umeifanya pointKwahiyo hujaona hapo alipomwambia mwandishi akapigane yeye?
Hakuna wakumfikia na atayekuja kumfikia Muhammad Ali
Note: Sijasoma Uzi na comment haihusiani na Uzi
No, hii imekua point kwakua Tyson mwenyewe alimkimbia Foreman kwa kutamka, siyo second hand ila alisema MWENYEWE. Ingetokea kwamba hakuwahi kuulizwa juu ya Foreman wala nisingeiweka hapa.Nimepaona ila naamini kama angepigana nae na kumshinda bado ungekuwa umemuweka Foreman ktk vikongwe walioviziwa na Tyson. Ila kwa sababu hakupigana nae umeifanya point
Kwahiyo Tyson alivyong'ata ndiyo kiume?Kama evander angepigana kiume kama Tyson kamwe asingeshinda na angedondoshwa mapema sana. Jamaa kilichomsaidia ni kupiga vichwa huku refa akimbeba na kukumbatia muda karibia wote. Kiufupi evander alishinda kijanja janja tu siyo kwa sababu ni strong
Mike Tyson being "evandered" by Evander Hollyfield. Tatizo kubwa la Tyson ni kwamba alikuwa amezoea mapambano ya kuwapiga watu raundi ya 1 au ya 2, mwisho na hakuwa na pumzi ya kupigana zaidi ya raundi hizo. Hii ilimaanisha kuwa hakuwa na pumzi pamoja na uzoefu wa kupigana zaidi ya ya 1 au ya 2, sana sana ya tatu. Mimi siku ya pambano lao la kwanza nilipomuona Evander niliwaambia watu pale pale kuwa LEO TYSON ANAPIGWA.
Sababu kubwa iliyonifanya niseme hivyo ni kuwa figure ya Hollyfield ilikuwa inaonyesha ni mtu ambaye ni wa kupigwa kuanzia round ya 8 au zaidi na si vinginevyo, round ambazo Tyson hakuwa na uwezo nazo. Yeye alikuwa na uwezo wa raundi ya 1 na ya pili tu! Ni kweli kabisa Tyson alikuwa anakuwa over-rated, tena sana!
Tyson supporters mnashindwa kujenga hoja badala yake mnatetea jinsi alivyokua muoga na mkimbia watu.
Sasa kama hoja yenu ni kwamba alikua anakimbia watu kwa ajili ya pesa mbona alipigwa na Douglas? Si angekua anawapiga hawa underdogs kirahisi?
Tukiwa hapohapo kwenye kukimbia watu, nitajieni bondia ambaye Wilder amewahi kumkimbia. Nitajieni bondia ambaye Foreman amewahi kumkimbia? Au Liston.
Wilder angekua mshindi.
Kimo kinampa advantage Wilder.
Pumzi ya Wilder ni kubwa kuliko ya Tyson.
Wilder ana ngumi nzito.
Wilder ana stronger chin.