Mchezo wa ngumi nitofauti mnoooAlipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu, hata Lewis alipigwa na Hasim Rahman bondia ambae wengi ndio tulimjua siku hiyo hiyo ya pambano na hakuwa akipewa nafasi yoyote ya kumpiga Lewis tena ko ya raundi za mwanzo tu,sasa hiyo imekaajeAlipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye rematch akamkong'otaSi ajabu, hata Lewis alipigwa na Hasim Rahman bondia ambae wengi ndio tulimjua siku hiyo hiyo ya pambano na hakuwa akipewa nafasi yoyote ya kumpiga Lewis tena ko ya raundi za mwanzo tu,sasa hiyo imekaaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumzi, punch za nguvu pia, staminaMchezo wa ngumi nitofauti mnooo
Unaweeza ukatawala gem kuanzia mwanzoo ila mistake moja tuu yaani ngumi moja tuu ikakunyima ushindiii
Me nasisitiza badooo
Utuambie bondia bora anapaswa awe na vigezo ganii kama kwelii wee ni mtu wa ngumiii
Hivi uliona pambano lile la floyd na maidanaVyombo vya habari vitakubeba kwa kukupromote tu lkn mchezo wa Boxing ni mchezo wa wazi ukishinda tunaona navukipigwa tunaona pia, hao waandishi wa habari walikuwa hawaiingii ulingoni kumsaidia Tyson. Tyson katika kipind chake ameshinda mapambono meng sana kwa KO
Sent using Jamii Forums mobile app
Namalizia speed na uzito wa punch, footwork, na unyumbufuu
Alipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Namalizia speed na uzito wa punch, footwork, na unyumbufuu
Ss jee hizo sifa Tyson hakuwa nazooo??
Alikuwa nazo na kumbuka Tyson alikuwa na uzito w zaidi kg 100 lkn alikuwa mwepesi sanaNamalizia speed na uzito wa punch, footwork, na unyumbufuu
Ss jee hizo sifa Tyson hakuwa nazooo??
Hivi ulishawahi kufatilia mapambano yote yya Tyson.... Kumbuka Tyson alikuwa bingwa wa dunia akiwa na umri wa Miaka 20 tena alimtandika mtu aliyeshibaHakika 'Tyson' alikuzwa mno na wanahabari
😂Si unajua tena wabongo wakiingia utube wakisoma vimakala viwili vitatu basi wanajifanya magwiji wa mambo. Mashirikisho ya ngumi duniani yanamtambua Tyson, halafu anatokea mtu kwa mtogore kashiba ugali na kabichi anijafinya mtaaalam kuliko WBO, WBC,IBF, shirikisho la ngumi za kulipwa Tanzania nk. Chambueni tu singeri ndio fani zetu hayo mengine tuyaache tu kama yalivyo
😂Kwahiyo unaleta dharau ukiletewa wewe dharau unadai watu wamepanic?
Mungu wangu hapa zinaweza kutokea ndondiKwahiyo unasemaje?
Mungu wanguNiheshimu. Nitakuheshimu. Tuheshimiane.