Mkongwee
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 759
- 1,656
Mchezo wa ngumi nitofauti mnoooAlipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweeza ukatawala gem kuanzia mwanzoo ila mistake moja tuu yaani ngumi moja tuu ikakunyima ushindiii
Me nasisitiza badooo
Utuambie bondia bora anapaswa awe na vigezo ganii kama kwelii wee ni mtu wa ngumiii