Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Alipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezo wa ngumi nitofauti mnooo
Unaweeza ukatawala gem kuanzia mwanzoo ila mistake moja tuu yaani ngumi moja tuu ikakunyima ushindiii
Me nasisitiza badooo
Utuambie bondia bora anapaswa awe na vigezo ganii kama kwelii wee ni mtu wa ngumiii
 
Hebu halalisha hoja yako,kwani Tyson alipigana mapambano mangapi? alishinda mangapi alidraw mangapi na alipigwa mangapi,maana naona umetaja mapambano hata kumi hayafiki je hayo tu ndio alipigana ktk career yake yote.na kama yalikuwepo mapambano zaidi ya hayo je alipigana na mabondia gani?hebu tutajie ili utuonyeshe huko kubebwa alikobebwa na vyomb vya habari.
Jingine umesema alipigana na mabondia wazee,haya tujulishe umri wa Cassius Clay na Sonny Liston ulikuwaje wakati Clay anampiga Liston,lakini pia tujulishe umri wa Antony Joshua na yule M ukrain wakati AJ anampiga mUkrain pale Wembley.
Ktk ngumi na michezo yote mingine yote lazima wachezaji chipukizi wanaochipukia watawakuta wakongwe na lazima watapambana nao na kisha hao wakongwe hutoweka kwa kuwa muda wao umekwisha.Hata Muhammad Ally mwishoni mwishoni alipigwa na mabondia vijana na mpuuzi mmoja alifikia mpaka kumvunja taya Muhammad Ally.Haya ukifimkiria MA wa enzi za Liston jinsi alivyokuwa analitawala dimba ungedhania kuwa ipo Siku atavunjwa taya.Ndivyo ilivyokuwa zilikuwa siku zake za mwisho alikuwa hamna namna lazima apigwe na bondia kijana muda ulishamtupa mkono.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ajabu, hata Lewis alipigwa na Hasim Rahman bondia ambae wengi ndio tulimjua siku hiyo hiyo ya pambano na hakuwa akipewa nafasi yoyote ya kumpiga Lewis tena ko ya raundi za mwanzo tu,sasa hiyo imekaaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya habari vitakubeba kwa kukupromote tu lkn mchezo wa Boxing ni mchezo wa wazi ukishinda tunaona navukipigwa tunaona pia, hao waandishi wa habari walikuwa hawaiingii ulingoni kumsaidia Tyson. Tyson katika kipind chake ameshinda mapambono meng sana kwa KO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tyson Enzi zake alikuwa on fire
Sema huko mbele alizingua
Ni Sawa na kusema Sahv floyd anabebwa
Kitu ambacho kinawezekana ikawa Kweli!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya habari vitakubeba kwa kukupromote tu lkn mchezo wa Boxing ni mchezo wa wazi ukishinda tunaona navukipigwa tunaona pia, hao waandishi wa habari walikuwa hawaiingii ulingoni kumsaidia Tyson. Tyson katika kipind chake ameshinda mapambono meng sana kwa KO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uliona pambano lile la floyd na maidana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipigwa na Buster Douglas ambaye ni bondia wa kawaida sana tena akiwa kwenye prime yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Check tena ile game. Round ya nane dogo alidondoshwa kama mzgo. Na kama isingekuwa kwamba muda wa round umeisha alivofatwa na bila refa kumzuia tyson alikuwa anakufa uwanjani
 
Namalizia speed na uzito wa punch, footwork, na unyumbufuu
Ss jee hizo sifa Tyson hakuwa nazooo??

Alikuwa navyo tena zaidi ya hvo. Jamaa ukwepaji wake na speed ya mashambulizi hata uzito wa kati bado hawafikii
 
Tyson alikuwa heavy puncher,hakuwa fundi kivile..

Castr unamzungumziaje Wilder maana huwa nahisi anajivunia ngumi jiwe tu ile lakini sijawahi ona ufundi wa ngumi pale..
 
Namalizia speed na uzito wa punch, footwork, na unyumbufuu
Ss jee hizo sifa Tyson hakuwa nazooo??
Alikuwa nazo na kumbuka Tyson alikuwa na uzito w zaidi kg 100 lkn alikuwa mwepesi sana
On his prime jamaa alikuwa balaaa sema huwezi ukatesa wakati wote, ila bado kwangu ni bondia mzuri aliyewahi kutokea

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanahabari walitulevya hata sisi Mashabiki,Tyson alikuwa bingwa mbovu kabisa kutokea duniani,ndo maana alidundwa kwa aibu na Evander na Lenoox Lewis.
 
Si unajua tena wabongo wakiingia utube wakisoma vimakala viwili vitatu basi wanajifanya magwiji wa mambo. Mashirikisho ya ngumi duniani yanamtambua Tyson, halafu anatokea mtu kwa mtogore kashiba ugali na kabichi anijafinya mtaaalam kuliko WBO, WBC,IBF, shirikisho la ngumi za kulipwa Tanzania nk. Chambueni tu singeri ndio fani zetu hayo mengine tuyaache tu kama yalivyo
😂
 
Back
Top Bottom