Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Huko kujulikana ndiyo nikasema.

Alitegemea promoters, MEDIA, has been na journeymen

Watu mnajitia kichwa ngumu ila mtaelewa tu
 
Kitendo cha kusema Tyson alikua bondia wa kawaida inatosha kusema akilizako haziko sawasawa na mtu atakayebishana nawe naye ni mwehu.

Yaani Tyson kapigana mara 58 ameshinda mapambano 50 kati ya hayo 44 kwa KO mapambano 5 kwa maamuzi ya majaj, mawili mpinzani kagoma kucheza,kapoteza 6 ivi kweli alikua akipendelewa au kapigana na vizee? Amecheza ngumi za daraja la juu kuanzia 1985 mbaka 2005.
 
Haka kajamaa kana ushabiki sana yeye anamuona Mike tu Evander alipelekewa moto kishenzi na babu Foreman tena baada ya kukaa nje ya ring kwa miaka kumi hiyo hawezi sema!
We na we sasa kwanini nikasema anakimbia watu? Ambao hawakimbii watu ndiyo hao ukaona kilichotokea.
 
Hujui kitu
 
Daaa, hivi kwenye ngumi Kuna kibebwa kweli na ukizingatia alikuwa anashinda kwa KO tena mapema kabisa, au unataka kusema mabondia wote aliowapiga walikuwa wabovu? hebu jiunge na boxing nawewe wakubebe mkuu.
Soma uzi uelewe. Hoja yako imejibiwa kwenye uzi
 
Mzee hizo za kwanini anajulikana sana zimeshajibiwa na uzi.

Soma tena
 
Ni kwasababu umaarufu wa boxing umepungua sio kama zamani
Nini kinachofanya uoungue, kutokana pia hakuna wapiganaji wazuri kama zamani, tangu afe michael jackson poo kushney maregea sababu hakuna anaefanya kama yeye.

Hawa kina anthony joshua kina wilder ni kama kufa kwa waganga hadi walevi wanapunga watu majini, n ndio maana mayweather akateka vyombo vya habari mnoo sababu hakukuwa na mabondia wakali wa uzito wa juu.
 
tyson alibebwa sana na media, alipigwa kipigo cha aibu sana na douglas "buster"
Ngumu kumpata mkamilifu, hata messi anatamani mguu wa kulia wa ronaldo, uwezo wa kwenda hewank na kadhalika, cr nae atatamani uwezo wa mguu wa kushoto wa andunje skills zake nakadhalika.
 
Jipeni kazi kidogo muingie you tube.
Muangalie alichokua anakifanya mike tyson.
Mimi namuona TYSON ni kama Ronaldinho wa ngumi. hakuna kama tyson labda baadae atazaliwa.
Hakuna kama Tyson?

Uzi na komenti 10 za kwanza umejibu hili swali.
 
Nakumbuka pambano la Evander alikua anakumbatia mpaka nakaairika mimi.
 
Hakuna bondia aliyetamba.na kutisha katika zama zake kama tyson, pia tusisahau kuwa mapambano huandaliwa na.mapromota plus wadhamini na sio mabondia.. kwa hiyo kama unaona. Tyson alikuwa.anapiga wachovu hilo sio suala.lake ni la mapromota na wadhamini..bondia anachotaka ni pesa iingie na.kuweka rekodi..
 
Hakuna popote ulipo jibu, eti alikua anatangazwa , hao kina evanda walikua hawatangazwi ? Kwamba mapambano yaliyokua yanarushwa ni yake tu ? Kwenye vyombo vya habari anaandikwa yeye tu?

Na ni matangazo gani hayo yamefanya jina lake lidumu kwa miongo minne sasa ?

Habari za vijiwen ziache vijiweni , anejua anajua tu ambae hajui hajui full stop

Ni kama zile story za vijiwen, Ronaldo hamna kitu , hattrict zake anapigaga timu ndogo tu...
Mzee hizo za kwanini anajulikana sana zimeshajibiwa na uzi.

Soma tena
 
Ok alizipata kutoka kwa nani? Wewe leo panga lako likikata mgomba utaliita kali?
Usiniambie ulikuwepo wakati wakipanga hayo mapambano na waliomuweka mike na kama ni hivyo watu wasingemuweka Mike Tyson katika Greatest Heavyweight Boxers Of All Time? ww ninani unawadhifa gani wakupinga walioweka hiyo list.
 
Usiniambie ulikuwepo wakati wakipanga hayo mapambano na waliomuweka mike na kama ni hivyo watu wasingemuweka Mike Tyson katika Greatest Heavyweight Boxers Of All Time? ww ninani unawadhifa gani wakupinga walioweka hiyo list.
Si unajua tena wabongo wakiingia utube wakisoma vimakala viwili vitatu basi wanajifanya magwiji wa mambo. Mashirikisho ya ngumi duniani yanamtambua Tyson, halafu anatokea mtu kwa mtogore kashiba ugali na kabichi anijafinya mtaaalam kuliko WBO, WBC,IBF, shirikisho la ngumi za kulipwa Tanzania nk. Chambueni tu singeri ndio fani zetu hayo mengine tuyaache tu kama yalivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha hapo aliposhiba kabichi na ugali [emoji119][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…