Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
- #141
Huko kujulikana ndiyo nikasema.Haaaaaahaaaaa kuna kale kaimbaji kanaitwa Nandy na kenyewe kanamjua kuna wimbo niliusikia kamuimba sasa haoni ajabu mtu km yule ambae si mfuatiliaji anamjua Tyson,Khadija kopa kawahi kumuimba wasanii kibao humuimba Mike bibi yangu juzi hp ananiambia "Usijifanye Tyson hapa" yaani mleta mada inamuuma kishenzi watu kumtukuza Mike hata saa hz pita YouTube na mitandao mingine utakuta khabari za Mike hao wengine wamestaafu wamesahaulika Mike km bado yupo ulingoni ana mvuto wa kipekee sana!
Alitegemea promoters, MEDIA, has been na journeymen
Watu mnajitia kichwa ngumu ila mtaelewa tu