Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Castr njoo umjibu chief kwa izi fact ili mjadala upambe moto ili tuamini bandiko lakoHapa Tyson alipambana na Mkali aliyekuwa akimiliki mkanda wa WBA ambao Tyson alikuwa anautaka Tena, angepigana na nani sasa kama sio Bruce Seldon aliyekuwa anashikilia mkanda??View attachment 1273728
Hakuwahi kunijibu hizi postMkuu Castr njoo umjibu chief kwa izi fact ili mjadala upambe moto ili tuamini bandiko lako
Hukuwahi kunijibu hizo post, baadae nilipokuja kukuona Uzi wa Arsenal na kugundua wewe ni shabiki LA Arsenal nikaona nikuache!!Bob uzi una replies 300+ na majibu yapo humo humo
Usikariri umri, kutamba ni kutamba tu bila kujali ni katika umri gani, na kushuka ni kushuka tu, unaweza kutamba mpaka ukiwa na miaka 25, mwenzako aliyekuzidi umri akaanza kutamba akiwa na miaka 30!!Japo Evander kaanza almost 1984 na Tyson 1985 lakini Evander kaanza kutengeneza Era yake ya kutamba baada ya Tyson kutoka Jela jioni kabisa!Tyson alikua anaelekea ukingoni? Evander alikua anaelekea wapi? Nani alikua mkubwa kiumri kati yao mpaka useme Tyson alikua anaelekea ukingoni il Lennox na Evander walikua wapo kwenye prime?
Mimi ni Arsenal. Boxing na Arsenal nimeanza kuzishabikia nikiwa mdogo. Kwahiyo ukiona naongea kuhusu boxing au Arsenal jua naongea ninachokijua.Hukuwahi kunijibu hizo post, baadae nilipokuja kukuona Uzi wa Arsenal na kugundua wewe ni shabiki LA Arsenal nikaona nikuache!!
Hahahaha dah una fani nyingine ukiacha komedi?Usikariri umri, kutamba ni kutamba tu bila kujali ni katika umri gani, na kushuka ni kushuka tu, unaweza kutamba mpaka ukiwa na miaka 25, mwenzako aliyekuzidi umri akaanza kutamba akiwa na miaka 30!!Japo Evander kaanza almost 1984 na Tyson 1985 lakini Evander kaanza kutengeneza Era yake ya kutamba baada ya Tyson kutoka Jela jioni kabisa!
Mkuu, jitafakari wewe Mwenyewe uwezo wako wa kuelewa!!Wengine huanza kutamba late in their Career, Zidane kachukua uanasoka wa Dunia akiwa na miaka 26, Owen akiwa na miaka 26 alishaanza kuchuja tayari!!Owen alichukua uanasoka bora wa Dunia akiwa na miaka 22 tu! Akiwa na Miaka 22 Zidane alikuwa mchezaji asie na jina huko Bordeaux Ufaransa!!Same to Evander, japo kaanza ngumi yeye jina lake halikuwahi kuwa juu ya Tyson mpaka miaka ya mwisho mwisho ya Tyson baada ya misukosuko mingi hadi kwenda jela!!Usichoelewa ni kitu gani?Hahahaha dah una fani nyingine ukiacha komedi?
Evander alilazimika kustaafu mwaka 1994 na alikaa nje ya ulingo mwaka mzima. Akarudi mwaka 1996 na ndiyo huo mwaka alikutana na Tyson. Na Tyson akapigwa.Mkuu, jitafakari wewe Mwenyewe uwezo wako wa kuelewa!!Wengine huanza kutamba late in their Career, Zidane kachukua uanasoka wa Dunia akiwa na miaka 26, Owen akiwa na miaka 26 alishaanza kuchuja tayari!!Owen alichukua uanasoka bora wa Dunia akiwa na miaka 22 tu!Akiwa na Miaka 22 Zidane alikuwa mchezaji asie na jina huko Bordeaux Ufaransa!!Same to Evander,japo kaanza Ngumi yeye jina lake halikuwahi kuwa juu Ya Tyson mpaka miaka ya mwisho mwisho ya Tyson baada ya misukosuko mingi hadi kwenda jela!!Usichoelewa ni kitu gani?
Mkuu unachomfanyia mleta post sio kizuri... Umemkaba kila kona kwa hoja hana pakupumulia kabisa.. Mwachie ata upenyo kidogo apumue bro.. [emoji3] [emoji3]Hukuwahi kunijibu hizo post, baadae nilipokuja kukuona Uzi wa Arsenal na kugundua wewe ni shabiki LA Arsenal nikaona nikuache!!
Nilipigwa ban sikumkimbia.Mkuu unachomfanyia mleta post sio kizuri... Umemkaba kila kona kwa hoja hana pakupumulia kabisa.. Mwachie ata upenyo kidogo apumue bro.. [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo baada ya kuanza matusi na mimi kukurudishia chenji ukaenda kusema?Brother .....Unanielekeza mimi jukwaa we boost mood tu.
Ambacho hujajua ni umetaja watu hatari ambao wewe unasoma tu hadithi za matokeo ya pambano na hauangalii mapambano.Tyson angekuwepo kwenye hiki kizazi cha ss cha ngumi
Sijui kina Wilder, kina A J, wale wa Ukraine wawili, angewapiga mpaka kuwatia uchizii
Tyson alikua Bull fighter mpiganaji muuaji wa kumaliza pambano mapemaaa
Na ukifatilia mapambano alopigwa Tyson anzia la huyo Evender ulikua ujanja ujanja mwiiingi wa Evender mara kukumbatia kukimbia kimbiaa kama kina AJ wa ss
Hata Lenox Lewis ingawa ni bondia bora ila alipokutana na Tyson alibadili style kukimbia kimbia kwiiiiiiingi na kukumbatiaa
Kikubwa mchezo wa ngumi ni mchezo wa waazi kabisaa, bondia bora anaoneka kwa zilee footwork zakee, speed na uzito wa punch zake, na pia unyumbufu wake (flexibility)
Na hizoo sifa zooote alikua nazoo
Ni bingwa wa mabingwaaa
Achana na hao mabondia wasio na radha kukimbia kimbia kwiiiiiingi
naona unaweka maandishi ilimradi uwe wa mwisho kujibu unajikuta hero sio? labda tujaze seva ila bado huu Uzi wako ni wa kijinga na ujinga wako unaendeleza mpaka kwenye comment zako Mimi Mods niwatafute kwa lipi kazana uwatafute wewe Bro unaleta uzi wa kitoto hoja za kitoto na majibu ya ajabuajabu halafu unajitekenya na kucheka mwenyewe hapohapo.Kwahiyo baada ya kuanza matusi na mimi kukurudishia chenji ukaenda kusema?
Nigga I won't stop. Lete tena komedi zako nakurudishia chenji kama kawaida uende ukaseme tena kwa mods.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachoniuma ni tumehama kutoka Tyson kubebwa hadi kuonana wajinga. Samahani.naona unaweka maandishi ilimradi uwe wa mwisho kujibu unajikuta hero sio? labda tujaze seva ila bado huu Uzi wako ni wa kijinga na ujinga wako unaendeleza mpaka kwenye comment zako Mimi Mods niwatafute kwa lipi kazana uwatafute wewe Bro unaleta uzi wa kitoto hoja za kitoto na majibu ya ajabuajabu halafu unajitekenya na kucheka mwenyewe hapohapo.
Kwa ushauri wangu kuna uzi unaitwa wamwisho ni mshindi nenda kule utakufaa....bado hawajapata mshindi.
Mkuu, mimi ni mfuatiliaji wa mchezo wa ngumi kwa muda mrefu. .. ie mwishoni mwa Mohd Ally reigns na mwanzo wa ufalme wa Tyson ..... utawala super middleweight wa Mayweather na kurudi tena kwa heavy weight ya kina AJ ..Wilder &coAmbacho hujajua ni umetaja watu hatari ambao wewe unasoma tu hadithi za matokeo ya pambano na hauangalii mapambano.
Ona hapa.
Tyson alianza ngumi 1985 mpaka 2005.
Wladmir Klitschko alianza ngumi 1996 mpaka 2017.
Vitali alianza ngumi 1996 mpaka 2013.
Mwaka 1996 Tyson anapigwa na Evander. Akawa amebakisha miaka 9 kustaafu. Nini kilimzuia kukutana na wakina Klitschko?
Kaanza ngumi mwaka 1985, mwaka 1993 Nikolai Valuev anaanza ngumi. Kwanini hujawahi kusikia akimtafuta huyo mtu?
Umepigwa na Evander unapona vipi kwa Vitali? Hilo swali likamfanya asijipendekeze kwa hao watu.
Hii ni kwa boxers wengi actually. Ila watu ndiyo ukiwaambia wanamindMkuu, mimi ni mfuatiliaji wa mchezo wa ngumi kwa muda mrefu. .. ie mwishoni mwa Mohd Ally reigns na mwanzo wa ufalme wa Tyson ..... utawala super middleweight wa Mayweather na kurudi tena kwa heavy weight ya kina AJ ..Wilder &co
Sijawahi kufikiri nje ya box aina ya mapambano ya Tyson.... Kwa muktadha huu, naunga mkono hoja zako ambazo pamoja ufuatiliaji wangu boxing kwa muda mrefu sikupata kuzifahamu
Upo sahihi kwa 100% kwamba pamoja tulichokiona ulingoni " chini ya carpet kulikuwa na figisu nyingi prior to those fights . ... (devil was in detail )
Sent using Jamii Forums mobile app