Kiukweli sikuona ni kwa namna gani fury atapigwa katk pambano hili LA tatu na wilder.. Kiukwel fury ni bondia aliyekamilika aisee... Katk pambano LA pili kati yao wilder alitoa visingizio vingi sana sasa Leo sijui atakuja na visingizio gani tena.. Nampenda fury nampenda sana anapigana aisee hana ubishoo kazini...