Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

Tyson Fury vs Deontay Wilder: Mpambano mkali kupigwa tarehe 24 Julai, 2021

Kiukweli sikuona ni kwa namna gani fury atapigwa katk pambano hili LA tatu na wilder.. Kiukwel fury ni bondia aliyekamilika aisee... Katk pambano LA pili kati yao wilder alitoa visingizio vingi sana sasa Leo sijui atakuja na visingizio gani tena.. Nampenda fury nampenda sana anapigana aisee hana ubishoo kazini...
 
Round ya 10 fury alimpa ngumi za uhakika Huyo wilder na akaenda chini Mara moja Mara nyingine alijishika katk kamba ili asidondoke kiukweli alikuwa kashapotea. Angemsikiliza daktari aliye ingia ulingoni round ya 7 kumshauri aache pengine angeokoa fuvu LA kichwa lililo pigwa vibaya round ya 11... Daaa nimemwonea huruma sanaa wilder tatizo hataki kukubali kushindwa..
 
Kwa sasa hakuna bondia wakumpiga fury hata huyo AJ akifanikiwa kurudisha mikanda yake atapigwaa vibaya sana kwa fury... Kiufupi pambano LA Leo fury alikuwa anamaliza muda mrefu ila akitaka atupe burudani mashabiki zake... Wilder pole sana huuwez mziki huu huyo fury amekomaa utazani sio mzungu.. Wilder umejaa urembo mwingi na kujiona hakuna kama wewe.. Sasa katibiwe kwanza aisee hahaahahaahaaaahaaa
 
Back
Top Bottom