KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
-
- #21
Wapi huko? Was you serious seeking for him?All in all Kuna ndugu wa rafik angu alikuaga ni mtu wa graphics sana akapotea...
Mpaka alizikwa na city ilikua kujulikana baadae sana alikua anavuka barabara akagongwa na gari na kupotezaa maisha....
Hakuwa na Id yeyote Wala doc yeyote na hakutoa taarifa kua alikua ame enda wap yaan NDIO ivyo bwana.....
KIFO KIPO BUSY AKISUBIRI TUMALIZE MISHE MISHE
Sijaelezea Kwa kina my point ni kua tunapo safir au kutoka kwenda sehemu at least tue na kitu kinacho weza kututambulisha Kwa uraisi Ili zikitokea Sinto fahamu.......... Inakua rahisi kujua pa kuanzia......Wapi huko? Was you serious seeking for him?
NakaziaTangazo halijakamilika
Mabonge wengi hawamaindishi sana kudinyana.Mkuu kwaio sisi wenye miili hatupendi tamu tamu....
Fafanua mkuu..
DuhMabonge wengi hawamaindishi sana kudinyana.
Pichani ni ndugu yetu/rafiki yetu anayefahamika kwa jina la TYSON NDUNGURU maarufu mtandaoni kama Tyzee SwahiliHood.
Ndugu yetu tokea alivyotoka nyumbani kwake siku ya ijumaa ya tarehe 26/05/2023 hajarudi wala kuonekana nyumbani kwake hadi dakika hii tunapoandika tangazo hili.
Muda wote huo juhudi za kumtafuta zimekua zikiendelea lakini bado hatujafanikiwa kupata taarifa yoyote inayomhusu mpaka sasa maana hata simu zake za mkononi zote hazipatikani.
Mkewe na familia yake inamtafuta. Wafanyakazi wenzake nao wanamtafuta na sisi marafiki zake tunamtafuta.
Tunaomba ushirikiano kwako wewe unayesoma ujumbe huu wa hali na mali ili tuweze kumpata mwenzetu akiwa salama. Taarifa zimeshatolewa kwenye mamlaka husika. Juhudi zimefanyika na zinaendelea kufanyika tumekuja kuomba juhudi za pamoja zaidi.
Tafadhali tusaidie kusambaza taarifa hizi. Ukipata taarifa yeyote tafadhal piga namba hizi.
Mawasiliano
0694644530
0625634902
0655642321
HanaHana tatizo la afya ya akili?
Nendeni na ITV wana kipindi cha kutafuta waliopotea.
"Yu wapi" cha Anna Malya