Tyson Ndunguru rafiki yake MC Joel wa (Tyzee SwahiliHood) aliyedaiwa amepotea apatikana

Tyson Ndunguru rafiki yake MC Joel wa (Tyzee SwahiliHood) aliyedaiwa amepotea apatikana

Yaaan nikionaga wanadamu wenzangu tunavyopishana njian najuaga kbs Kila mtu anawaza lake Kuna wengine ktk kuwaza Huwa wanaweza kuyavumilia wayawazayo na Kuna wengine Huwa uzalendo unawashinda nakuamua kujiuaa Kwa maana wamekosa mbinuu mbadala ya kukabiliana na wanayopitiaa,
 
Serious Note:
Huyu mke wake adodoswe vizuri, Je, anatambua kwamba huyo mume wake anafanya kazi "zipi" hasa? Je, alishawahi kudokezwa na huyo mume wake kwamba yeye ni "deep cover' agent?

Encountered with this name in the past few years ago !
 
Na huyo mc joe tuone pic yake
Huyu
1685618384418.jpg
 
Wamesema amepatikana, yuko salama. Taarifa zaidi watatoa.
 
Utata uko hapa " Kifo chako ni mshale ndani yangu, ila sababu ya kifo chako ni kujaribu kutoa mshale kwa kurudi ulipotoka "

Hayo ni maneno ya Bwana Tyson Ndunguru kabla ya kutoweka aliandika kwenye post zake mbili za mwisho katika ukurasa wake wa facebook, huyo jamaa akipatikana lazima kuna mapya yaibuke,, kuna siri ipo anayoijua huyo.
 
Dunia imeharibika sana, unaweza kuta ni mwanaume ila pia ni mjane wa pili wa marehemu,
 
Back
Top Bottom