TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna ushahidi wowote hadi leo!!!!
Halafu tuna kaa hapa na kusema nchi ya haki na amani!!!!
Unaweza kuzusha chochote kwa yeyote mtu akafungwa, makanisa yakafungwa na vyama vikafugwa. Hivi CCM inaweza kufugiwa, misikiti inaweza kufugwa yote kwasababu ya kauli, kuna mtu yeyote wa CCM amewahi kupewa kesi ya uhaini.
Tunashukuru kuna mkakati kutoka nje na majirani zetu wa kusafisha hii serikali ya Tanzania na watafanikiwa.