Bashiru, kama wanasiasa au wanadamu wengine, anayo nafasi ya kuibuka mbele kwa style nyingine. watu wa aina yake sio rahisi kusahaulika. Trust me he will bounce back even more strong than he was.
Kuna wakati nacheka sana na nyinyi wana siasa. Hatua tatu mbele msianze kupiga tena kelele. Hata ingelikuwa ni mimi, ningefanya kazi na wale tu ninaoendana nao.
Rais Mstaafu JK ni mahiri mno wa siasa kuliko watu wengi wanavyopenda kutuaminisha. Hakutaka amuachie mtu asiyeaminika nchi. Na mpaka sasa anakwenda hivyo hivyo.
Tusisubiri kuona muujiza ambao hautakaa kutokea
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Kwenye print media wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.
Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.
Mfano kwa mujibu wa katiba, baada ya Ripoti ya CAG kukabidhiwa kwa rais, within the first 7 days, ilipaswa itue mezani kwa Spika. This is the most important report, katiba haikuweka mazingira yoyote ya ripoti hii kushindwa kuwasilishwa mezani kwa Spika within the prescribed time frame. Ila kiutu uzima tuu, ripoti hii ilibidi iwasilishwe jana saa 3 asubuhi. Very unfortunately jana hiyo Waziri wa Fedha alikuwa hajaapishwa hivyo hawawezi kuipokea. Natumaini itatinga Bungeni kati ya Jumanne na Alhamisi Ijayo.
Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.
Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, Luna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka.
Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo kwa Samia, tusimpangie, lakini kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Ili uweze kulifaidi bandiko hili, anza na bandiko hili
Wanabodi, Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya. Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM. Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa...
www.jamiiforums.com
Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu... Hitimisho.
Swali ni Jee President Samia, atakubali kupangiwa kazi na mabeberu?.
Jibu ni only time will tell.
Unaposema hoja za hawa wajamaa (The Economist), hii ni ya UONGO au hii ni ya KWELI, inakuwa ni maoni yako au ni conclusion yako na kututaka na sisi tuchukuliane na matamanio yako?
Bashiru, kama wanasiasa au wanadamu wengine, anayo nafasi ya kuibuka mbele kwa style nyingine. watu wa aina yake sio rahisi kusahaulika. Trust me he will bounce back even more strong than he was.
Aibuke mara ngapi? Uliona kile kishindo cha Wabunge jana? Serikali ikitaka kupitisha jambo nyeti lazima itafute Wabunge aina ya Bashiru kuungwa mkono bungeni.

Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.
Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!
Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Tunamshauri Rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JPM na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kipya kwa Rais mpya Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia,
Not yet, anyway. Lacking a base within the party, Ms Samia will be concentrating on surviving the early stages of her presidency (inherited in accordance with the constitution), when she will be weakest. Huu ni uongo!. Wanadai Samia hana mimizi na Chama hivyo siku za mwanzo atakuwa dhaifu!. Kwenye hili tayari Samia has proved them wrong!, she is very strong woman!. Ile kuanza na kuanza, ameanza kwa kumgoa Dr. Bashiru pale Ikulu na kumtupia Bungeni as nobody!. Mtu alikuwa KM wa chama chake, then CS, alafu unamgoa na hata uwaziri hakustahili?!. It takes a very very strong man to do this!, sasa kama aliyefanya hili is a woman, then she is dam strong woman!. (Tanzania tutashuhudia “strength of a woman” (emphasize mine)
Kuna vitu hawa mabeberu wazungu wanaviona na wanavijua kuliko sisi, mfano ni huo, walisema Samia ataanza kama rais dhaifu, baadaye atakuwa strong, kama Spika ameachia ngazi!, then tukubali tukatae Samia sio mchezo!. Hivyo wale waliomchukulia poa, this is a wake up call!.
P
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Tatizo hili lilikuwepo wakati wa awamu ya Magufuli, media tuliingia uoga na kupigwa ganzi kufanya analysis, tatizo hili linaendelea mpaka leo kwenye awamu ya Rais Samia.
Kwenye print media ndio angalau wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Emmanuel Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.
Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo hadi itakapo stabilize, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.
As days go by, Rais Samia anazidi ku stabilize ila two years ni time enough to fully stability lakini bado kuna some few silly mistakes here and there.
Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JPM na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na mawaziri wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano!, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, this is the first mistake ya rais Samia!, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote, hii ni serikali mpya ya awamu ya 6 na sio serikali ya muendelezo wa awamu ya 5!. Kiapo cha utii kwa Political appointees ni kiapo cha utii kwa rais aliye madarakani kwa awamu mpya, ndio maana hata Waziri Mkuu, hata kama ni yule yule, awamu ikibadilika, anateuliwa tena, anaidhinishwa tena na Bunge na kuapishwa upya!. Viapo vya utii kwa Political appointees ni non transferable!, JPM aliunda baraza lake, JPM kafa, Baraza lake lazima livunjwe ili Samia aanze na awamu mpya na Baraza jipya!. Hivyo ilibidi mawaziri wote wale kiapo kipya cha utii kwa Rais mpya Samia na sio kuhudumu kwa rais mpya kwa kiapo cha utii kwa rais aliyepita! JPM, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa space Mama to start a fresh, na kama bado Samia anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint. Hivyo hii serikali ya Samia ya awamu ya 6, ni serikali ya awamu ya 6 ambayo pia ina muendelezo wa awamu ya 5!. Bila kulivunja Baraza la mawaziri la awamu ya 5, hii serikali ya Samia ni serikali ya awamu ya 5 ya 6!.
Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyoyasema kumhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, kuna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini pia mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu Mama Samia, ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka!.
Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo hata Samia, tusimpangie!, ila hakuna ubaya kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Hoping for change, Tanzania’s new president surely can’t be worse than the old one.-Hapa wanamsema JPM was worse president, hivyo sasa wana matumaini na Samia. Jee ni kweli JPM was worse president?.
3. Pity the country if she keeps her promise. Hapa wanatuonea huruma kama atafuata nyayo za JPM. Jee ni kweli, Taifa la Tanzania, linahitaji kusikitikiwa iwapo Samia atafuata nyayo za JPM?.
4. John Magufuli, was a covid-denying populist who ran a ruthless authoritarian regime. Jee ni kweli JPM run a ruthless authoritarian regime in Tanzania?.
It's true JPM aliigomea Covid 19 na ni kweli alitawala kwa mkono wa chuma, Rais Samia ni soft, ameikubali Corona ni tatizo na amechukua hatua ikiwa ni pamoja na kukubali chanjo.
Kumsingizia marehemu amekufa kwa kitu kingine chochote, zaidi ya kilichotangazwa rasmi ni kosa la consecration of the dead!, ni kutaka kumchafua marehemu na kuichafua nchi yetu kuwa watu wanakufa kwa covid, wakati reality wanakufa kwa magonjwa mengine!.
For the moment liberal Tanzanians are surprisingly upbeat, in part because they do not take Ms Samia, the country’s first female leader, at her word.-Huu ni uongo!.
Unaposema hoja za hawa wajamaa (The Economist), hii ni ya UONGO au hii ni ya KWELI, inakuwa ni maoni yako au ni conclusion yako na kututaka na sisi tuchukuliane na matamanio yako?
Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyoyasema kumhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, kuna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini pia mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu Mama Samia, ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka!.
Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo hata Samia, tusimpangie!, ila hakuna ubaya kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Rais Samia amesema baada ya Rais Mwinyi kuingia madarakani Gazeti la Economist la UK liliandika " Rais Mwinyi hawezi kuleta nafuu yoyote kwenye Uchumi dhaifu sana wa Tanzania kwa sababu Mwinyi ni Mtu wa Nyerere"
Ambacho The Economist hawakukijua ni kwamba Nyerere aling'atuka ili kuruhusu Mageuzi ya Kiuchumi na hayati Mwinyi alipewa Kazi hiyo, amesema Rais Samia
Source:TBC
Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,
Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.
Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!
HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.
Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.
Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.
If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.
Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.
Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.