Tuta lishaanza kujengwa. Mradi utaisha tuKiukweli kwa wote tuliobaki hai baada ya mzee wetu kuitwa na Mungu,hakuna mwenye ubavu wa kumvimbia beberu.
Kama kuna mtu anabisha subiri uone kama ule mradi wa bwawa la Nyerere kama hautasitishwa kwa vitisho vya UNESCO
Hizo ni fikra zako hatuwezi kukukatalia lkn ukweli bado unabakia pale pale kuwa mama kaamua kusafisha ghalaBashiru, kama wanasiasa au wanadamu wengine, anayo nafasi ya kuibuka mbele kwa style nyingine. watu wa aina yake sio rahisi kusahaulika. Trust me he will bounce back even more strong than he was.
Kuna wakati nacheka sana na nyinyi wana siasa. Hatua tatu mbele msianze kupiga tena kelele. Hata ingelikuwa ni mimi, ningefanya kazi na wale tu ninaoendana nao.Hizo ni fikra zako hatuwezi kukukatalia lkn ukweli bado unabakia pale pale kuwa mama kaamua kusafisha ghala
una maani gani?...kwa hiyo ndg. gerson msigwa aanze kukaa mguu sawa?.Pasco ile nafasi ya kurugenzi ya mawasiliano ukiipata usiwasahau wana JF huku, hata kuwaita mara moja moja kwenye tafrija za hapa na pale[emoji1787]
Wanabodi,
Salaam,
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Kwenye print media wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.
Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.
Mfano kwa mujibu wa katiba, baada ya Ripoti ya CAG kukabidhiwa kwa rais, within the first 7 days, ilipaswa itue mezani kwa Spika. This is the most important report, katiba haikuweka mazingira yoyote ya ripoti hii kushindwa kuwasilishwa mezani kwa Spika within the prescribed time frame. Ila kiutu uzima tuu, ripoti hii ilibidi iwasilishwe jana saa 3 asubuhi. Very unfortunately jana hiyo Waziri wa Fedha alikuwa hajaapishwa hivyo hawawezi kuipokea. Natumaini itatinga Bungeni kati ya Jumanne na Alhamisi Ijayo.
Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.
Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, Luna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka.
Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo kwa Samia, tusimpangie, lakini kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Ili uweze kulifaidi bandiko hili, anza na bandiko hili
Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri
Wanabodi, Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya. Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM. Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa...www.jamiiforums.com
Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu...
Hitimisho.
Swali ni Jee President Samia, atakubali kupangiwa kazi na mabeberu?.
Jibu ni only time will tell.
Nawatakia Ijumaa Kuu Njema
Paskali
Unafikiri kwa nini karudi kwa kasi ? Alishaona kwa mwenda zake hakusomeki, sasa anatupia karata kwa mamaAmpatie nani hiyo nafasi huyo Mayalla?
Mama hatabiriki, kasema tukutane Jumanne ila hajateua mtu yoyoteuna maani gani?...kwa hiyo ndg. gerson msigwa aanze kukaa mguu sawa?.
Bashiru, kama wanasiasa au wanadamu wengine, anayo nafasi ya kuibuka mbele kwa style nyingine. watu wa aina yake sio rahisi kusahaulika. Trust me he will bounce back even more strong than he was.
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.Wanabodi,
Salaam,
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Kwenye print media wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.
Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.
Mfano kwa mujibu wa katiba, baada ya Ripoti ya CAG kukabidhiwa kwa rais, within the first 7 days, ilipaswa itue mezani kwa Spika. This is the most important report, katiba haikuweka mazingira yoyote ya ripoti hii kushindwa kuwasilishwa mezani kwa Spika within the prescribed time frame. Ila kiutu uzima tuu, ripoti hii ilibidi iwasilishwe jana saa 3 asubuhi. Very unfortunately jana hiyo Waziri wa Fedha alikuwa hajaapishwa hivyo hawawezi kuipokea. Natumaini itatinga Bungeni kati ya Jumanne na Alhamisi Ijayo.
Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JK na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kimya kwa Rais Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.
Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, Luna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka.
Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo kwa Samia, tusimpangie, lakini kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Ili uweze kulifaidi bandiko hili, anza na bandiko hili
Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri
Wanabodi, Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kwa mwaka huu, kwanza tutakiane heri ya mwaka mpya. Pili tupeana pole sana kwa msiba mkubwa wa kumpoteza JPM. Tatu, nitoe pongezi kwa President Samia kuwa rais wa JMT, kuongoza awamu ya Sita, hongera sana Mama Samia, umeanza vizuri kwa...www.jamiiforums.com
Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu...
Hitimisho.
Swali ni Jee President Samia, atakubali kupangiwa kazi na mabeberu?.
Jibu ni only time will tell.
Nawatakia Ijumaa Kuu Njema
Paskali
Kwani lazima hadi niwe nimefanyiwa Mimi, ???!!/jinga wwUlishafanyiwa ukatili gani binti!!??
Kiukweli eneo hili bado ni gumu, Tangu Spika JYN ajiuzulu, sijafanikiwa kuona any serious analysisi kwenye media!.Wanabodi,
Salaam,
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Hili tulishauri, it took too long ila sasa ndio linakwenda kufanyika, better late than neverTunamshauri Rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JPM na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote ilibidi wale kiapo kipya kwa Rais mpya Samia na sio kiapo cha utii kwa JPM, lakini kumtumikia Samia, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa mama space to start a fresh, na kama bado anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint.
Kuna vitu hawa mabeberu wazungu wanaviona na wanavijua kuliko sisi, mfano ni huo, walisema Samia ataanza kama rais dhaifu, baadaye atakuwa strong, kama Spika ameachia ngazi!, then tukubali tukatae Samia sio mchezo!. Hivyo wale waliomchukulia poa, this is a wake up call!.Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyasema kuhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia,
Paskali
- Not yet, anyway. Lacking a base within the party, Ms Samia will be concentrating on surviving the early stages of her presidency (inherited in accordance with the constitution), when she will be weakest. Huu ni uongo!. Wanadai Samia hana mimizi na Chama hivyo siku za mwanzo atakuwa dhaifu!. Kwenye hili tayari Samia has proved them wrong!, she is very strong woman!. Ile kuanza na kuanza, ameanza kwa kumgoa Dr. Bashiru pale Ikulu na kumtupia Bungeni as nobody!. Mtu alikuwa KM wa chama chake, then CS, alafu unamgoa na hata uwaziri hakustahili?!. It takes a very very strong man to do this!, sasa kama aliyefanya hili is a woman, then she is dam strong woman!. (Tanzania tutashuhudia “strength of a woman” (emphasize mine)
Tatizo hili lilikuwepo wakati wa awamu ya Magufuli, media tuliingia uoga na kupigwa ganzi kufanya analysis, tatizo hili linaendelea mpaka leo kwenye awamu ya Rais Samia.Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni vyombo vichache ndio vina waandishi wenye uwezo wa kufanya news analysis.
Hali hii inaendelea mpaka sasa, bado hatuna any serious talk show program ya analytical na analysis. Angalau mimi nimeanzisha kipindi kipya cha KMT.Kwenye print media ndio angalau wanajitahidi kwenye editorial, lakini kwenye electronics main stream media, ukiondoa TBC ile segment ya Shabani Kisu, na Jicho Letu Ndani ya Habari cha Star TV, chini ya Mkongwe Dotto Emmanuel Bulendu, naweza kusema, Tanzania hatuna any serious news analysis na news analysts.
Hizi trends and analysis, ndio kama hivi, naendelea nazo.Hivyo kufuatia uzoefu wangu kwenye media wa miaka 30, sasa baada ya kustaafu, naendelea kuwatumikia Watanzania kwa kujitolea, kila nipatapo muda, nitakuwa nawapatia kitu kinachoitwa trends & analysis za mambo mbalimbali kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa.
As days go by, Rais Samia anazidi ku stabilize ila two years ni time enough to fully stability lakini bado kuna some few silly mistakes here and there.Tukio la kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, ni jambo ambalo halikuwahi kutokea, matokeo yake bado kuna trials na errors nyingi zitafanyika na serikali ya Samia hapa mwanzo mwanzo hadi itakapo stabilize, ambazo nyingine zitakwenda kinyume cha katiba, lakini kwa vile tukio hilo ni kama force majeure kwenye mikataba, tutavumiliana tuu.
Kosa hili la kutolivunja Baraza la mawaziri limetucost kumteua Naibu Waziri Mkuu.Jingine ni ule waraka wa TLS kumtaka rais mpya Samia kulivunja Baraza la mawaziri la JPM na kuunda lake la Awamu ya Sita. Rais Samia kaamua kuanza Awamu yake ya 6, na mawaziri wachache wapya, na wengi ni mawaziri viporo wa Awamu ya Tano!, kwa hoja kuwa kile kiapo chao kwa utii kwa JPM, kinahuishwiwa kwake, kwa hoja kuwa kiapo ni kwa Taasisi ya Urais wa JMT na sio kwa mtu. Kwa maoni yangu, this is the first mistake ya rais Samia!, kwa executive appointees, hata rais akibadilika, wao wanaendelea, lakini kwa political appointees wote, hii ni serikali mpya ya awamu ya 6 na sio serikali ya muendelezo wa awamu ya 5!. Kiapo cha utii kwa Political appointees ni kiapo cha utii kwa rais aliye madarakani kwa awamu mpya, ndio maana hata Waziri Mkuu, hata kama ni yule yule, awamu ikibadilika, anateuliwa tena, anaidhinishwa tena na Bunge na kuapishwa upya!. Viapo vya utii kwa Political appointees ni non transferable!, JPM aliunda baraza lake, JPM kafa, Baraza lake lazima livunjwe ili Samia aanze na awamu mpya na Baraza jipya!. Hivyo ilibidi mawaziri wote wale kiapo kipya cha utii kwa Rais mpya Samia na sio kuhudumu kwa rais mpya kwa kiapo cha utii kwa rais aliyepita! JPM, ndio maana tukamshauri PM Majaliwa ange step down kumpa space Mama to start a fresh, na kama bado Samia anamuhitaji PM Majaliwa, ange m reappoint. Hivyo hii serikali ya Samia ya awamu ya 6, ni serikali ya awamu ya 6 ambayo pia ina muendelezo wa awamu ya 5!. Bila kulivunja Baraza la mawaziri la awamu ya 5, hii serikali ya Samia ni serikali ya awamu ya 5 ya 6!.
Hili limefanyika na mfano hai ni ujio wa DPW na Bandari zetu!.Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyoyasema kumhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, kuna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini pia mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu Mama Samia, ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka!.
Tunaendelea kumsaidia Rais Samia kwa kumshauriNilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo hata Samia, tusimpangie!, ila hakuna ubaya kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Hii ni kweli kabisa.Ukiona mabeberu wanaanza anza kuwasifu viongozi wazalendo wa bara la Afrika, ujue, wana lao jambo!.
Karibu kwenye hoja zangu...
Miaka miwili ya Samia, imethibisha JPM was not a worse president wala Samia is not better than. They are both humans and can make mistakes.Wanabodi,
- Hoping for change, Tanzania’s new president surely can’t be worse than the old one.-Hapa wanamsema JPM was worse president, hivyo sasa wana matumaini na Samia. Jee ni kweli JPM was worse president?.
Kwenye hili, Samia anafanya vizuri, anaendeleza yale yote ya Magufuli japo sio kwa speed ya Magufuli .2. Tanzania’s new president, Samia Suluhu Hassan, vows to continue where her predecessor left off. –This is true.
Rais Samia has proved them wrong, amefuata nyayo za JPM na anaendelea kudunda.3. Pity the country if she keeps her promise. Hapa wanatuonea huruma kama atafuata nyayo za JPM. Jee ni kweli, Taifa la Tanzania, linahitaji kusikitikiwa iwapo Samia atafuata nyayo za JPM?.
It's true JPM aliigomea Covid 19 na ni kweli alitawala kwa mkono wa chuma, Rais Samia ni soft, ameikubali Corona ni tatizo na amechukua hatua ikiwa ni pamoja na kukubali chanjo.4. John Magufuli, was a covid-denying populist who ran a ruthless authoritarian regime. Jee ni kweli JPM run a ruthless authoritarian regime in Tanzania?.
Huu ni uongo na hawa ni waongo!5. Many believe that the virus killed him. Hapa wana suggest JPM kaondolewa na covid!. Huu sio uongo?. Hao many who believes that ni wepi, wa wapi?!.
Huu ni uzandiki!.Ili kuipush hii agenda ya covid, hawakuitangaza sababu ya kifo cha JPM iliyotangazwa na serikali yetu.
Huu ni uongo !.Kumsingizia marehemu amekufa kwa kitu kingine chochote, zaidi ya kilichotangazwa rasmi ni kosa la consecration of the dead!, ni kutaka kumchafua marehemu na kuichafua nchi yetu kuwa watu wanakufa kwa covid, wakati reality wanakufa kwa magonjwa mengine!.
Huu ni uongo wa mchana kweupe!.
- For the moment liberal Tanzanians are surprisingly upbeat, in part because they do not take Ms Samia, the country’s first female leader, at her word.-Huu ni uongo!.
Ni opinion yangu based on the facts zilizopo.Unaposema hoja za hawa wajamaa (The Economist), hii ni ya UONGO au hii ni ya KWELI, inakuwa ni maoni yako au ni conclusion yako na kututaka na sisi tuchukuliane na matamanio yako?
Wanabodi,
Salaam,
Hayo tuyaache yangu ya leo ni haya..
Baada ya kuisoma ile makala ya Jarida la Mabeberu la The Economist na hoja zake kumhusu Presidaa Samia, Nimekuja na hoja 30 kwa waliyoyasema kumhusu Samia. Kati ya hoja hizo, kuna za hoja za kweli, ni muhimu kutozipuuzia, kuna hoja za uongo na uzushi ni za kuzipuuza, lakini pia mabeberu hawa walivyo na akili, kuna hoja ambazo ni za kutaka kumpangia kazi kiana, rais wetu Mama Samia, ili afanye au atende kile mabeberu hawa wanacho kitaka!.
Nilisisitiza humu, kwa vile JPM hakupenda kupangiwa, na hatukumpangia, vivyo hivyo hata Samia, tusimpangie!, ila hakuna ubaya kumshauri na kumweleza jinsi mabeberu hawa wanavyo muona ni silaha muhimu sana ya kujiimarisha dhidi ya hila zozote za mabeberu hawa.
Paskali
Ni kweli. Hawa The Economist ni media ya kibeberu, siku zote wanatusema vibaya na walimwandama sana Magufuli, ila Samia walimfagilia. Samia tumaini jipya Tanzania: The Economist baada ya kumsakama sana Magufuli, sasa angalau lina matumaini na Samia, laanza naye vizuri na hapa TZ Trends & Analysis: Hoja 30 za The Economist Kumhusu President Samia. Kuna za Kweli, za Uongo na Uzushi na Kutaka Kumpangia Watakacho Mabeberu, Jee?Rais Samia amesema baada ya Rais Mwinyi kuingia madarakani Gazeti la Economist la UK liliandika " Rais Mwinyi hawezi kuleta nafuu yoyote kwenye Uchumi dhaifu sana wa Tanzania kwa sababu Mwinyi ni Mtu wa Nyerere"
Ambacho The Economist hawakukijua ni kwamba Nyerere aling'atuka ili kuruhusu Mageuzi ya Kiuchumi na hayati Mwinyi alipewa Kazi hiyo, amesema Rais Samia
Source:TBC
HBD Rais Samia!.Wanabodi,
Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,
Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.
Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!
HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.
Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.
Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.
If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.
Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.
Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.
Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali