TZ work permit

i dont know who comment this, is it Tanzanian or Foreighner!

but kama ni Tanzanian, kweli mungu atusamehe watanzania, but kama sio mtanzania basi pia siku moja aombe aje tanzania!

Hakuna nchi yenye watu wenye upendo kama TZ!

Generally Tanzanians are good, raia wake hawana issue lakini hao wasiojulikana wanaosafiri kwa gari nyeupe ndio wanawaharibia jina, umesoma walichowafanyia wanahabari waliotumwa kuja kutathmini uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari. Isingekua kwa makelele ya dunia, na kwamba mmoja wa waliotekwa alikua mzungu, aisei yao yangeishia kwengine.
Tanzania niliyokua naijua sio hii naisoma kwa magazeti, ndani ya miaka miwili au mitatu nchi yenu imeangazwa kwa mambo ya kiajabu ajabu, utekwaji nyara na kutoweka kwa watu, binafsi hata mimi siamini kama mumefikia kiwango ninachosoma kuwahusu.
 
Hahahahahahahahaha[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
I hope you won't shout again when Tanzania mistreats Kenyans.

See, the way you are killing your country softly. Hebu nenda Google halafu type.... "Tanzania mistreats Kenyans"...... And that's what everybody the world over reads. Who would want to come to Danganyika anymore. Be intelligent bwana. Acheni kujichomea picha with petty emotions.
 
That is our choice, we have chosen that type of relationship with Kenya, don't waste your time, we will not change.
 
That is our choice, we have chosen that type of relationship with Kenya, don't waste your time, we will not change.

And we are quite aware of that that's why we have played our cards closer to our chests.The difference is the same.
 
And we are quite aware of that that's why we have played our cards closer to our chests.The difference is the same.
Then stop complaining that Tanzania mistreats Kenyans, fight your own battle.
 
Then stop complaining that Tanzania mistreats Kenyans, fight your own battle.

You are the one who has stated that, I didn't even know Danganyikans had ideas of mistreating Kenyans. Mbona unabadilisha rangi kama Kinyonga. I say si mna kibarua
 
You are the one who has stated that, I didn't even know Danganyikans had ideas of mistreating Kenyans. Mbona unabadilisha rangi kama Kinyonga. I say si mna kibarua
Doesn't matter, just wanted to let you know and others Kenyans who plan to come to "Shamba la bibi" that, all other nationalities can be tolerated, but not Kenyans.
 
Mwenyewe hauna suruali ya ndani unatisha hata siafu.... Wadanganyika waoga maneno matupu tu
suruali ya ndani!?!..ni bora ukatumia english kwa sababu ndo lugha yako ya taifa..
 
Doesn't matter, just wanted to let you know and others Kenyans who plan to come to "Shamba la bibi" that, all other nationalities can be tolerated, but not Kenyans.

Tehehe... Uzuri you are only one desolate lifeless troll on JF who is really singing that... Good Danganyikans the ones I know of tolerate us in a big way and they really want to come to Nairobi and Kenya by extension. The Kenya that Mwanzilishi wa Taifa Nyerere aliwaambia ni the "London of Africa"........ Hayo hadithi yako ni kama kupika chakula kutumia mshumaa. It's neither here nor there.
 
Yeees hivi ndivyo inatakiwa iwe lazima muwe na heshima mnapokuja kwenye nchi za watu..
JPM noma anaweza finya huyu makende badala ya $50 for a business visa aishie kucheua 100× the amount as penalty!
 
Mleta mada, vulcan na usisahau pia kuimba imba nyimbo za Bahati Bukuku kila mara na kusema bwana asifiwe. Ilinisaidia sana wakati nikikatiza Rombo na kwenye ziara zangu Arachuga. Bora uhai. [emoji1]
 


MK254 najua upo kwenye kile chama chenu cha UKENYA na UTANZANI..mm wala sio mwanacha wala mfuasi wa hivyo vyama viwili

Ushauri wako hapo juu ni upotoshaji wa hali ya juu na kama utatumika the way ulivyo shauri huyo ndugu yako anaweza juta sana kuja BONGO,,najua unajua fika kwa nn Tanzania inaitwa BONGO LAND,,moja la kosa ulilo mshauri nikumsifu JPM,nakupa siri JPM anasifiwa pale tu unapo hisi ujumbe utamfikia au utafikishwa tena huku ukiwa sehem salama au yenye ulinzi wa JPM la sivyo kaa kimya usije pigwa na wenye nchi..

Mimi Naishi Tanga,Tanga kunawakenya weni sana wanafanya kazi mahotelini wengine waalim NK,,na wengi ni rafiki zangu sana wAnaishi kwa amani tu,,hawana tabia za kujisifu sifu kama wahaya,,or sijui kwetu kuna magolofa sijui raisi wetu handsome,au siju tunawazungu wengi,,huu ni upuuzi mtu cha msingi twambie unafaidika navyo vipi,,leo hii utakuta wakenya wanafaidi vya Bongo,wamejenga wanabishara huku,,ww MK254 hata kibanda huna ila kelele kama nguchiro,majisifu kama kama ndge Tai kumbe huna lolote,,

Nakupa mfano,,mm naweza nikaja kenya nikaishi maisha ya kifahari kuliko 40% au zaidi ya wakenya wanavyo ishi au ww ukaja Bongo ukaishi maisha safi kuliko hata 50% wanavyo ishi wa Bongo issue ni opportunity tu,,so acheni kuwa mazwazwa wa vitu visivyo kusaidia kwa lolote

Nimeandika tokoea room No 405 PRIDEINN PARADISE BEACH HOTEL & SPA iliyopo Shanzu Mombasa Kenya

Nawapenda watu wa Mombasa,,kiswahili kama nipo Tz

Nisamehe kama nimekuuzi,,
 

Acha kutudanganya.... My one month salary can feed your family for one year and your dog for 5 years.
 

Utakua hujanielewa na naona wengi hamuelewi ushauri wangu, fahamu kwa Mkenya ambaye anaishi huko ina maana tayari anayo vibali vyote vikiwemo vya makazi na ajira, na kabla ya kupata vibali kawaida lazima vyombo vya usalama wakiwemo hao wa ndani ya giza wanakua wamekagua na kuruhusu.

Lakini hapa nampa ushauri Mkenya ambaye anakuja kwa ajili ya kongomano ya muda mfupi, kwa sasa hali ilivyo na tunayoyasoma kwenye magazeti kuihusu Tanzania ndani ya miaka mitatu ya hivi majuzi, lazima awe makini kwa kila hatua, nimemshauri ajiepushe kuongelea siasa za Tanzania akiwa huko, na kama itamlazimu basi iwe za kumsifu rais, hapo hata kama atakua ametegeshewa hawataweza kumnasa.
Kama kweli upo Kenya endelea kufurahia utamu wa kwetu, upo huru hata kujadili siasa zetu, sisi tulishatoka kwenye hayo ya kupimiana hewa miaka ilee!!
 
Duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…