MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
i dont know who comment this, is it Tanzanian or Foreighner!
but kama ni Tanzanian, kweli mungu atusamehe watanzania, but kama sio mtanzania basi pia siku moja aombe aje tanzania!
Hakuna nchi yenye watu wenye upendo kama TZ!
Generally Tanzanians are good, raia wake hawana issue lakini hao wasiojulikana wanaosafiri kwa gari nyeupe ndio wanawaharibia jina, umesoma walichowafanyia wanahabari waliotumwa kuja kutathmini uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari. Isingekua kwa makelele ya dunia, na kwamba mmoja wa waliotekwa alikua mzungu, aisei yao yangeishia kwengine.
Tanzania niliyokua naijua sio hii naisoma kwa magazeti, ndani ya miaka miwili au mitatu nchi yenu imeangazwa kwa mambo ya kiajabu ajabu, utekwaji nyara na kutoweka kwa watu, binafsi hata mimi siamini kama mumefikia kiwango ninachosoma kuwahusu.