TZ work permit

Achana na Huyo boya kiufupi kilasehemu Kuna mabaya mazuri.karibu Tz
 
Acha chuki zako Za kike ww wapi walisema wakenya hawatakiwi
 
Hahahaha .... we karibu tu marafiki zetu tutakupokea vizuri tena itakua njema ukipata mtu wa ufipa maana nasikia wanawapenda wakenya hasa



Usisahau kuwa na passport yako na kitambulisho chako


Tatu ukiondoka usisahau kubeba kiroba cha mchele kutoka mbeya uwapelekee nduguzo
 

Haya basi mchele though tunatoa Ahero na Sagana.... Labda juisi ya muwa pale Forodhani
 
Acha kujaza watu Wongo. Kwa chuki zako binafsi.
Ninahisi wewe ni mgeni, unaruhusiwa kutoa maoni yako vile unavyodhani ni sawa bila ya kumdhalilisha mwenye mawazo tofauti na yako. Karibu sana jamvini.
 

I think you will have to stay in your country, kwani ni muhimu sana uhudhurie?
Kwa nini usibaki tu kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…