U.A.E waliamua kuachana na mrengo wa itikadi kali na siasa za fujo. Leo ni nchi ya kuigwa. Wenzao wamebaki kuwa wanaharakati wa mambo yasiyoeleweka

Wewe ni mtu mwenye chuki na Uislam kwa ujumla wake. Usisingizie ugaidi sijui nini nini.
Eh Jombaa.. Quran inakuumbua Jombaa... wewe ni fake muslim nini? au ndio Taqiyya imetawala moyo wako?

Quran 9:5
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
β€” Ali Muhsin Al-Barwani

Quran 47:4
Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu. Tena waachilieni kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu hatazipoteza a'mali zao.
β€” Ali Muhsin Al-Barwani

Quran 9:29
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
β€” Ali Muhsin Al-Barwani
Quran 3:28
Believers should not take disbelievers as guardians instead of the believersβ€”and whoever does so will have nothing to hope for from Allahβ€”unless it is a precaution against their tyranny. And Allah warns you about Himself. And to Allah is the final return.
β€” Dr. Mustafa Khattab, The Clear Quran
Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni naye. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu.
β€” Ali Muhsin Al-Barwani


Quran 5:51
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
β€” Ali Muhsin Al-Barwani

O believers! Take neither Jews nor Christians as guardiansβ€”they are guardians of each other.1 Whoever does so will be counted as one of them. Surely Allah does not guide the wrongdoing people.
β€” Dr. Mustafa Khattab, The Clear Quran


Quran 3:32
Sema: Mt'iini Allah na Mtume. Na wakigeuka basi Mwenyezi Mungu hawapendi makafiri.
β€” Ali Muhsin Al-Barwani

Say, ΛΉO Prophet,ΛΊ β€œObey Allah and His Messenger.” If they still turn away, then truly Allah does not like the disbelievers.
β€” Dr. Mustafa Khattab, The Clear Quran

So Aya hiyo ni Shirki Eti mtiini Allah na Mohamad.. kumbe ni same level. Mungu wa Waislam ni Mohamad ''HEKO''
 
Umeniwahi
Umeniwahi kumjibu mkuuπŸ™sasa nchi kama rebanon kule Kuna din gan? Lebanon si saw tu na nch yeyote ya ulaya?
 
Hii dini ya kipumbavu sana!

Somalia, Afghanistan, Sudan kote wafuasi wa Allah wanauana tu.

Angalia Lebanon kanchi kazuri kanaenda kuharibiwa sababu ya wapumbavu wachache kutaka kuwahi mito ya pombe na mabikra 72 kwa mudi
 
Hii dini ya kipumbavu sana!

Somalia, Afghanistan, Sudan kote wafuasi wa Allah wanauana tu.

Angalia Lebanon kanchi kazuri kanaenda kuharibiwa sababu ya wapumbavu wachache kutaka kuwahi mito ya pombe na mabikra 72 kwa mudi
Umesahau na Ukraine Russia Myanmar Congo nk
 
dogo wacha story waswahili wanakuambia kwenye majumba ya watu kuna siri nyingi zimejificha sawa sawa na nchi. Ukisha ishi kule ndo utagundua ukweli wote.
 

Itikadi kali ni kujitoa ufahamu. Hawashirikishi akili katika kuamua mambo.
Mfano nimeona kwenye TV, eti maislam yenye msimamo mkali (wa kijuha) wanataka kulipiza kisasi kwa mtu aliyechana kuruwan nchi Sweden πŸ‡ΈπŸ‡ͺ. Sasa unafikiria hiyo ni akili au matope? Wanaacha kushughulika na waumini wao ambao wanaichana kuruwan kwa kutofuata maamlisho ya Allah wao ambayo yako kwenye kitabu chao. Wenyewe wanahangaika na wanaochana kitabu physically. Wanaacha watu wao kibao ambao wanaikanyaga kwa kisigino (kuisigina) kuruwan kwa kufanya maovu bila kuhofu na wengine kwa raha zao.
πŸ™„ πŸ˜›
 
Umesahau na Ukraine Russia Myanmar Congo nk

Zile siyo nchi za Allah, ni nchi za makafiri. Sasa ukiona nchi za Allah zinamwaga damu za watu wa Allah sawasawa kabisa na jinsi damu inavyomwagika katika nchi za makafiri. Inakuwa ngumu kuelewa ati.
CC: Crimea
 

Umeongea mambo mengi sana, lkn ukweli ni kwamba maislam, hayajawahi yashutumu hadharani na peupe Makhawaarij kama akina Osama, MB, ISIS na wengine wengi. Ndiyo maana dunia inaona wote ni walewale.
 

Hapo sijakusoma, maana kitendo cha kuweka maspika juu ya paa na kuanza kupayuka maneno yasiyoeleweka ya miarabu. Huko siyo kulazimisha watu?
 
Chuki dhidi ya Uislam iliyofichwa nyuma ya pazia la kupinga ugaidi...

Nyie mlipue watu huku mkiita takibil takibil. Allahu kibaru. Halafu tuwafurahie. Mii kuna kipindi nikiona mtu kavaa yale mavazi ya kiarabu yale ya kininja na makanzu kanzu, nilikuwa sijisikii aman
 
Ahhahah
 
Nyie mlipue watu huku mkiita takibil takibil. Allahu kibaru. Halafu tuwafurahie. Mii kuna kipindi nikiona mtu kavaa yale mavazi ya kiarabu yale ya kininja na makanzu kanzu, nilikuwa sijisikii aman
Ahhaha
 
Umeongea mambo mengi sana, lkn ukweli ni kwamba maislam, hayajawahi yashutumu hadharani na peupe Makhawaarij kama akina Osama, MB, ISIS na wengine wengi. Ndiyo maana dunia inaona wote ni walewale.
Huyu ajielewi. Nishawazoea hawa itikadi kali
 
Hapo sijakusoma, maana kitendo cha kuweka maspika juu ya paa na kuanza kupayuka maneno yasiyoeleweka ya miarabu. Huko siyo kulazimisha watu?
Unajua kulazimishwa ? au wewe umesoma MEMKWA ! Kila jambo lina wahusika wake ndio maana hata mziki upigwe sehemu sio wote wanaupenda ...Suala la imani ni la mtu binafsi hauwezi kumlazimisha tu hata siku moja .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…