Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
-
- #21
Sio uasherati mkuu nataka tu niondokane na huu ulokole niwe bandiduAisee kwamba tukupe mbinu za kufanya uasherati?
Ngoja niende kwanza kwenye mkesha, nitakupa mbinu nikirudi.
Nakula vyakula vigumu mno mkuu labda ishu ipo tu kwenye tabiaUkikaa kimrendamrendaa
Kwani bangi unakula?Nakula vyakula vigumu mno mkuu labda ishu ipo tu kwenye tabia
Kwani bangi unakula?
Sasa mkuu nimekuja kuomba ushauri tena wewe unaanza kunisema semaWewe endelea kulamba midomo km nyoka ,wenzio wacha waendelee Kula tunda kimasihara
Hilo nalikubali kwa % zoteWakati nakua nipo la nne niliambiwa ukiwa unalala sana na wanawake mwisho unakua kama una sumaku nao unakua unawavuta tu.
Na hiyo ni kweli.
Daah..hii kitu nimekuja kuamini ni kweliwanawake hupenda Bad boys,wajuba,wahuni. hata wao husemaga wanapenda mwanaume mwenye kashkash
Embu tupe hiyo THEORY basi..Wanawake mdomoni wanapendaga kusema ooh nataka mwanaume mpole mcha Mungu anayenijali na kuniyai yai...... Ili aonekane. Mbele za watu kuwa yuko decent lakini ukweli ni kuwa wanawake Wanapenda Madrama.... Mwanaume muhuni muhuni tu hana time nae ndo hao wanao wapenda ukijifanya ALEHANDRO kama kwenye LA MUJER DE MI VIDA jua imekula kwako. Just use the 12th Man theory and you will be fine.
Swala ni moja ni vp ntaanza kubadilikaKaza mzee, mademu hawataki watoto wazuri-wazuri.
Wahuni wote peponii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.
Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na
Usiogope.. Muhuni atamzingua siku si nyingi, ataanza kujileta leta kwako.. na kwa uzembe wako utaona ni zali la mentali--Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.
Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na
Thanks sana mkuu kwa ushauri wako lakini 90% ya wanawake huwa naachana nao kwa staili hii hii sasa sijui tatzo liko wapiBwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed o
Kweli kaka hizi tabia zangu zishanifanya niwakose madem wengi sanaWanawake mdomoni wanapendaga kusema ooh nataka mwanaume mpole mcha Mungu anayenijali na kuniyai yai...... Ili aonekane. Mbele za watu kuwa yuko decent lakini ukweli ni kuwa wanawake Wanapenda Madrama.... Mwanaume muhuni muhuni tu hana time nae ndo hao wanao wapenda ukijifanya ALEHANDRO kama kwenye LA MUJER DE MI VIDA jua imekula kwako. Just use the 12th Man theory and you will be fine.