Bwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed on attention and crave for validation same-way a junkie thirsts for heroine. Mara nyingine anaweza kuonesha anakupenda kumbe anatafuta tu mtu wa kumpa Ego-Boost halafu akukatae ili ajione yeye ni wa maana.
Sasa cut-her off na wale usiwe na hasira naye kabisa, kukataliwa ni sehemu ya maisha. Huyo binti lazima atakuwa in her twenties hivi (She's in her prime), sasa tunasema anapitia kitu kinaitwa A Whore Phase. So Man-UP and Grow a Spine. Fanya mambo yako, usimtafute kwenye simu, hata akituma ujumbe usimjibu na hata akitaka urafiki wewe achana naye.
Dunia ina wanawake wengi mno na siyo lazima kila mwanamke awe wako. Inaonesha wewe bado mdogo, sasa tafuta maisha yako na nikuhakikishie wanawake wa aina hii utakutana nao wengi tu huko mbeleni. Just remember, do not give them your free time, resources, attention and validation unless they deserve it.