U - 'nice guy' umeniponza

U - 'nice guy' umeniponza

Wakati nakua nipo la nne niliambiwa ukiwa unalala sana na wanawake mwisho unakua kama una sumaku nao unakua unawavuta tu.

Na hiyo ni kweli.
Hilo nalikubali kwa % zote
 
Bwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed on attention and crave for validation same-way a junkie thirsts for heroine. Mara nyingine anaweza kuonesha anakupenda kumbe anatafuta tu mtu wa kumpa Ego-Boost halafu akukatae ili ajione yeye ni wa maana.

Sasa cut-her off na wale usiwe na hasira naye kabisa, kukataliwa ni sehemu ya maisha. Huyo binti lazima atakuwa in her twenties hivi (She's in her prime), sasa tunasema anapitia kitu kinaitwa A Whore Phase. So Man-UP and Grow a Spine. Fanya mambo yako, usimtafute kwenye simu, hata akituma ujumbe usimjibu na hata akitaka urafiki wewe achana naye.

Dunia ina wanawake wengi mno na siyo lazima kila mwanamke awe wako. Inaonesha wewe bado mdogo, sasa tafuta maisha yako na nikuhakikishie wanawake wa aina hii utakutana nao wengi tu huko mbeleni. Just remember, do not give them your free time, resources, attention and validation unless they deserve it.
 
Wanawake mdomoni wanapendaga kusema ooh nataka mwanaume mpole mcha Mungu anayenijali na kuniyai yai...... Ili aonekane. Mbele za watu kuwa yuko decent lakini ukweli ni kuwa wanawake Wanapenda Madrama.... Mwanaume muhuni muhuni tu hana time nae ndo hao wanao wapenda ukijifanya ALEHANDRO kama kwenye LA MUJER DE MI VIDA jua imekula kwako. Just use the 12th Man theory and you will be fine.
 
Embu tupe hiyo THEORY basi..
 
Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.

Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na
Wahuni wote peponii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.

Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na
Usiogope.. Muhuni atamzingua siku si nyingi, ataanza kujileta leta kwako.. na kwa uzembe wako utaona ni zali la mentali--
 
Bwahahahaha, kweli GOOD GUYS FINISH LAST. Pole sana braza lakini makosa uliyayafanya mwanzoni kabisa ni kumpa huyo mwanamke unnecessary attention and validation. Women feed o
Thanks sana mkuu kwa ushauri wako lakini 90% ya wanawake huwa naachana nao kwa staili hii hii sasa sijui tatzo liko wapi
 
Wanawake mdomoni wanapendaga kusema ooh nataka mwanaume mpole mcha Mungu anayenijali na kuniyai yai...... Ili aonekane. Mbele za watu kuwa yuko decent lakini ukweli ni kuwa wanawake Wanapenda Madrama.... Mwanaume muhuni muhuni tu hana time nae ndo hao wanao wapenda ukijifanya ALEHANDRO kama kwenye LA MUJER DE MI VIDA jua imekula kwako. Just use the 12th Man theory and you will be fine.
Kweli kaka hizi tabia zangu zishanifanya niwakose madem wengi sana
 
Back
Top Bottom