Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Naaa....hakunaga kitu huwa inavuruga kichwa cha mwanamke kama kukutana na bad boy halafu hana hela....Yeah, bad boys tupo hapa, waongezee sauti mabishoo wasikie
Hauna haja ya kubadilika, kuwa wewe baki kuwa wewe utapata anaependa mwenye sifa zako....Kama wewe ni ke na umethibitisha kweli hapo inabidi nibadilike
Hatua ya kwanza ni kuacha kujiita sijui nice guy.Swala ni moja ni vp ntaanza kubadilika
Mtoto hajibu texts za messenger.Mkuu hujanipa feedback yayule mtoto
Dah mzee story yako imenichoma mpka mm nimehis kuumia utazan ni mm.[emoji16] all in all pole sana mkuu niko siti ya mbele hpYani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in Kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.
Sasa mimi kitabia ni nice guy sana yani ni mtu nisiye na mambo mengi huwa nipo bize tu na shughuli zangu, madem wengi wamekuwa wakijilenga sema huwa atufiki mbali tunaachana na
Huo u nice guy ndio mtaji wako na umekuokoa kwa huyo demu mhuni,baki hivyihivyo na utakuja kupata demu wa calibre yako na utaenjoy sana.Yani hapa naongea kwa jazba sana iko hv, hapa nilipopanga somewhere in Kijitonyama kuna wanawake wengi sana ila asilimia kubwa ni wake za watu sema ndio hivo pia uwalu walu mwingi ukiwa mjanja unacharaza wote.
Njoo kaka nadhani mkesha uliumaliza vemaAisee kwamba tukupe mbinu za kufanya uasherati?
Ngoja niende kwanza kwenye mkesha, nitakupa mbinu nikirudi.
Kweli kabisa mkuuNa ukiwa nice guy halafu ukampenda sana demu ndo umekwisha kabisa. Ni shida tupu yaani [emoji706]
View attachment 2016803
Acha ujinga mkuuTafadhali ukijibiwa unistue... maana nataka nimuulizie jinsia yake baada ya kupata jibu lako
Ahsante
Ushauri mzuri sana huu nimeuelewa vemaHuo u introvert wako unatokana na nini usje kuwa unajipa vyeo kumbe umekosa self esteem.
Tatizo lako kubwa hauna confidence!
Jambo la kwanza kabisa mwanamke analovutiwa na jinsia ya kiume ni confidence...
Rekebisha mambo yanayokufanya ukose confidence ( mfano mavazi , style ya kunyoa usafi) jiweke vizuir itakuongezea kujiamini...
Confidence katika maongezi yako .. tone yako inatoka vipi? Huwa unaongea na mwanadad ukiwa calm and relaxed au unapatwa na kigugumizi na kuongea sauti ya uwoga uwoga ??
Pia kwa maelezo yako inaonekana wewe huwa una mu approach mwanadada kwa gia za urafiki... yani unaanzisha nae urafiki uanjifanya mtu mwema a good boy ukitarajia mwanadada huyo atavutiwa na wewe na kupata hisia za kimapenzi juu yako kwasababu ya ugood boy wako?
Create a sexual vibe toka mwanzo unaongea nae ajue kabisa nia na madhumuni yako haswa ni nini, body language aina za mada unazochaguwa kuzungumza.. tofautisha kuongea na dada, rafiki na mpenzi...
Inawezekana piaPia umesahau kutuambia we ni domo zege