Huo u introvert wako unatokana na nini usje kuwa unajipa vyeo kumbe umekosa self esteem.
Tatizo lako kubwa hauna confidence!
Jambo la kwanza kabisa mwanamke analovutiwa na jinsia ya kiume ni confidence...
Rekebisha mambo yanayokufanya ukose confidence ( mfano mavazi , style ya kunyoa usafi) jiweke vizuir itakuongezea kujiamini...
Confidence katika maongezi yako .. tone yako inatoka vipi? Huwa unaongea na mwanadad ukiwa calm and relaxed au unapatwa na kigugumizi na kuongea sauti ya uwoga uwoga ??
Pia kwa maelezo yako inaonekana wewe huwa una mu approach mwanadada kwa gia za urafiki... yani unaanzisha nae urafiki uanjifanya mtu mwema a good boy ukitarajia mwanadada huyo atavutiwa na wewe na kupata hisia za kimapenzi juu yako kwasababu ya ugood boy wako?
Create a sexual vibe toka mwanzo unaongea nae ajue kabisa nia na madhumuni yako haswa ni nini, body language aina za mada unazochaguwa kuzungumza.. tofautisha kuongea na dada, rafiki na mpenzi...