U - 'nice guy' umeniponza

Hiyo text iliingia nikiwa na simu nayeye alikuwa ndani mwao sasa kilichonifanya nijue ni jina la mshikaji
 
Ishi maisha yako utampata wa kufanana naye,concentrate na shughuli zako,hao mara nyingi hurudi kukutafuta akili ziki wakaa sasa. Sasa hivi bado akili yake haijakua.
Nimekuelewa kaka
 
Daah...nimekuelewa sana mkuu
 
Kua Kwanza . Ukiwa smart na ukamake maisha utakua unachagua Nani wa kumla leo. 25 yrs ....u ar too young . Usiige maisha ya kujikatia tamaa ya mjini.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Usikute jamaa hadi analalamika hako kabinti kameumbika ameshaona pote Ila kamezidi uzuri wenzie, ukipiga boko mpira hapo lazma ujutie mzee [emoji23]
Daah..mzee ni pisi ya kwenda asikwambie mtu
 
Nimekuelewa brother ahsante
 
achana navidada vinavyo vaamadela vinakulana nawavuta bangi wenzao vinaliwa mtungo ivo sijuikamawee unaweza mtungo wahuniwanaita utumbondizi wahuni wanawala Hadi utumbo
Hivo nilishavikataa kitambo mkuu huyo wala hakuwa napigo hizo
 
Daaah..mkuu story yako imenipa funzo kubwa sana ahsante
 
Anakitoch mkuu tena vile vya siku nyingi na pia nafikiri akuset outomatic time by the way nimekuelewa mkuu
 
Shida kubwa ni kwamba mnadhani muonekano pekee ndo unaongea... Na huwa mnadhani mademu wanashoboka na muonekano.. Wengine wanawataka ma-bad boy ujuwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…